Niseme nini, siwezi kueleza. Stori yangu na betPawa

Haya jamani tangazo la kujiunga kwenye group lake kupata odds hilo hapo kiingilio buku tano😁😁😁😁

Ila kama sio tangazo basi HONGERA ..... HIYO HELA NUSU NUNUA KIWANJA .... eneo la maana kama goba ..... maana hela kama hiyo kupotea ni dakika mbili na nyingi utairudisha huko huko betting .. nyingine fanyia biashara
.narudia tena NUNUA kiwanja hata useme nilishinda nikanunua kitu cha maana ... umeshindwa kabisa nunua hata bajaj .. yaani nunua asset yeyote
 
Unachokifanya ndo kinachokufanya usifanikiwe

Ubunifu zero.

Hizi bukubuku za wanyonge kuwa uwasukie mikeka haziwezi kukufanya kufanikiwa.

Vijana mnabidi mbadilike honest is key of life.
We have got to be honest by the tools we use to survive too!!
Kijana betting imemtoa mwache atambe nayo!! Wasiwasi wangu ni kuwa inaweza isiwe route sahihi kwa kila mtu, wengi wamefilisika kwa kamali.
 
Nashukuru kwa ushauri
 
We have got to be honest by the tools we use to survive too!!
Kijana betting imemtoa mwache atambe nayo!! Wasiwasi wangu ni kuwa inaweza isiwe route sahihi kwa kila mtu, wengi wamefilisika kwa kamali.



Tatizo haujaelewa , sahivi watu wan a post mikeka huu uzi upo Facebook ,Instagram n.k ili kuwashawishi then at the end watu wanampa hela awatengenezee mikeka.

That is way nimetoa alert
 

Bado tu ujaeleza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…