Niseme sina bahati ama mambo hayajanyooka! Ninaemtaka simpati au labda tatizo nyota!

Muimba SINGELI

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
4,211
Reaction score
10,864
GGADZZILA "kama hupati unachopenda penda unachopata"

DIZASTA VINA "utairudia kawaida utagundua kuwa haukuwa malaika"

WAZEE WANGU KIJIJINI "yote ni ya mungu wengine kula mtama wengine mpunga"
😒😒😒😒😒😒😒😒😒
 
Mama Ndege 😒😒😒😒😒😒😒😒😒😒😒😒😒😒😒😒😒😒😒😒😒😑
 
Aisee! Watu wanatekwa huko wewe unatakana
 
Haya mapenzi na usela dah! Ni kutia chumvi kwenye peraπŸ˜ͺπŸ˜ͺπŸ˜ͺ
 
Ni Marry Diana.

Heri mkate wa masemango kuliko njaa
😒😒😒
Madam Marry Diana sometimes kumuelewa binadamu mwenzako ni Moja kati ya haki za binadamu

Muelewe tajir wa watu asije akajinyonga Bure kwaajili yako

Halafu tajiri nakutumia debe la mbege ulimalize ndani ya siku 3 ili upate swaga za kutoka na watoto wakali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…