Niseme sina bahati ama mambo hayajanyooka! Ninaemtaka simpati au labda tatizo nyota!

Inasikitisha sana mkuu.
😪
Inasikitisha sana kwakweli
FB_IMG_17466435487289120.jpg
 
Nimeiweka rehani roho yangu mimi, penzi ni mitihani kila siku mimi..
😢😢😪
 
Ukiona hupati unayemtaka kaa single kwanza. Nilifanya hivyo, wee Mungu akaniletea mwanaume wa ndoto zangu. Yaani kila nachokitaka huyo mwanaume awe, ndiyo yuko hivyo. Halafu uliza nilimtolea wapi? Humu JF miaka sasa, maisha raha mstarehe. Tulia, utamapata wa ndoto zako.
 
🙄🙄🤔
Marry amenielewa.
 
Kutafuta pesa sishindwi njia zote nazijua, nakunywa pombe karibu maini yanaungua, navuta sigara nachoma kifua yote ni mapenzi yanayonizuzua jamaa..
😢😢😢
 
Back
Top Bottom