Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Well said brthr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona leo mnakuja wotee!!



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mimi pia kinachonipa mashaka na JF ni jinsi baadhi ya wajumbe wanavyo jinasibu kwamba umri wao ni mkubwa lakini mambo wanayo yafanya na michango yao lazima yatakuacha mdomo wazi.

pole sana kwa yaliyo kukuta Mkuu
There is Huge different between real life and internet
 
Mkuu,
Embu jaribu kunishawishi kuwa wewe sio sehem ya matatizo yakoo...

Unajua nn,
Mi kama sijamwelewa demu na nikaona huyu ni chenga, huwa nakata mawasiliano palepalee...

Sasa ww, unajua huyu ni chenga na bado unang'ang'ania, mwisho wa siku anakuumiza alafu unalalamika...

Sometimes we have to be real Man.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Braza wanawake wa humu 99% ni rejected..! Mimi nina mifano zaidi ya 10.

Mwenye tabia nzuri kalazimishwa na sura yake.

Mcha Mungu ni baada ya kulemewa na mzigo wa dhambi na masaibu yaliyomsibu (single mothers).

Wasomi wanaongozwa na umame/feminism na ulimbukeni.

Waliobaki wanaongozwa na tamaa na umaarufu uchwara, gurupu la mwisho ni wale wenye akili kiduchu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…