Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,265
- 201,451
Asante mkuu kwa ujuzi wa mjini mnamisemo mingi sana
jaman hayo mapicha picha mm [emoji21][emoji21][emoji21] ...dah... kwakweli ni wito..hongera[emoji23][emoji23]
Ooooops samahani mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23] mie my dear ninajitegemea..sisubiri cha kupewa...najiachia niwezavyo ati...sna la kupoteza...nyie ndo muanze kufake
[emoji1][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]hupendi eeeeh!mi ndo ugonjwa huoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kamanda kwema
Unanianza eeeh nitoe siri. [emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sema kaka uko vizuri. Nikirudi turudie mechi Cc Phenomenal woman
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmh mie siku naacha kucomment labda nimenyimwa mechi nna hasira
Vinginevyo siwezi kuacha kuchat sababu ya mtu yumo kwa keyboard
Aiseee Kama nakuona kwenye zile plan's zako za December 31πππMi mtoa Mada kanitishaa haswaaaπππ mie my dear ninajitegemea..sisubiri cha kupewa...najiachia niwezavyo ati...sna la kupoteza...nyie ndo muanze kufake
Looh!pole wakosa uhondo!!!Mimi napenda balaa!hapa toka mornie sijatoka nje Niko nabadili Sony,Star gold,N.k!!!wahindi ndo ugonjwa wangu[emoji23][emoji23][emoji23] aiseee... mm nilishindwa...yaan mapicha picha ya mapenz sijui tamthiliya hapana kbs...mie najihis nna chembe chembe za kiume..ingawa siangalii mpira...
Nilishindwa kuwaelewa Hawa Wahindi kabisaaa sijui ndo ushambaa[emoji1][emoji1]Jamani Niko Sony max naangalia Sudhi Dagga ya Anushka Sharma na Varun Dhawan!!!!![emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]!!!!!
Mjadala huu hauishi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Looh!pole wakosa uhondo!!!Mimi napenda balaa!hapa toka mornie sijatoka nje Niko nabadili Sony,Star gold,N.k!!!wahindi ndo ugonjwa wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee hongeraLooh!pole wakosa uhondo!!!Mimi napenda balaa!hapa toka mornie sijatoka nje Niko nabadili Sony,Star gold,N.k!!!wahindi ndo ugonjwa wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilishindwa kuwaelewa Hawa Wahindi kabisaaa sijui ndo ushambaa[emoji1][emoji1]
Mie na mpira kama Refa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaaaaa!
Leave InfoT Queen alone....
Je ukinywa Robertson [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we naye una majoto[emoji23][emoji23][emoji23]...khaaa sikumbuki kuomba mechi lin..naamka 11 narudi saa1 naanzaje kutaman mechi...ah wapi...
Hahaaa....napenda Mpira napenda wahindi yaani acha kabisaa...Nilishindwa kuwaelewa Hawa Wahindi kabisaaa sijui ndo ushambaa[emoji1][emoji1]
Mie na mpira kama Refa
Sent using Jamii Forums mobile app