Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

😂😂😂 mie my dear ninajitegemea..sisubiri cha kupewa...najiachia niwezavyo ati...sna la kupoteza...nyie ndo muanze kufake
Aiseee Kama nakuona kwenye zile plan's zako za December 31😂😂😂Mi mtoa Mada kanitishaa haswaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23] aiseee... mm nilishindwa...yaan mapicha picha ya mapenz sijui tamthiliya hapana kbs...mie najihis nna chembe chembe za kiume..ingawa siangalii mpira...
Looh!pole wakosa uhondo!!!Mimi napenda balaa!hapa toka mornie sijatoka nje Niko nabadili Sony,Star gold,N.k!!!wahindi ndo ugonjwa wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom