Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ukiulizwa unawatukania nini wanawake utajibu nini? Mkuu muogope mungu huijui kesho yako.haya maisha usijisahau sana hayana guarantee.unaweza kupata mamikosi mwaka mzima ukaona umelogwa kumbe midhambi tu ya Jf.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]That’s what’s up!!
I’m waiting....
Hahahah... Hapana... Ningekuwepo jukwaa la intelligence au siasa.
Yesu gani unae kwa maneno hayo unayoandika? Sio kila kitu lazima ushabikie.yesu mwenyewe aliheshimu wanawake sanaMikosi!!! Ukiwa ndani ya yesu mikosi utasikia tu kwako ww mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpandano unaendelea
Ila mmepambana wanawake mliochangia huu uzi,mimi naona kama mmevuliwa nguo flani hivi,hasa mtu kwa mtu aliyetoa huu uzi kujinadi kuwa na umri mkubwa! Angekuwa middle age ni sawa. Busara haikutumika,hata kama kuna ukweli! Sidhani kamavmkewe ni mkamilifu,mbona hakutupia tips chache za upungufu wa mkewe,mi naona kiki flani hivi,na wanaume wasiojiamini pekee ndio wamesapoti hii slend. Mi najiondoa .faragha ibaki kuwa faragha.Kabisaaa snaga habariii mm[emoji23][emoji23][emoji23]ccm mbele kwa mbele
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka umesoma maana ake uko vizuri.
Ila mmepambana wanawake mliochangia huu uzi,mimi naona kama mmevuliwa nguo flani hivi,hasa mtu kwa mtu aliyetoa huu uzi kujinadi kuwa na umri mkubwa! Angekuwa middle age ni sawa. Busara haikutumika,hata kama kuna ukweli! Sidhani kamavmkewe ni mkamilifu,mbona hakutupia tips chache za upungufu wa mkewe,mi naona kiki flani hivi,na wanaume wasiojiamini pekee ndio wamesapoti hii slend. Mi najiondoa .faragha ibaki kuwa faragha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mwanamke niache kabisa,Yesu gani unae kwa maneno hayo unayoandika? Sio kila kitu lazima ushabikie.yesu mwenyewe aliheshimu wanawake sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mtu anaungia Jf kwa bundle lake bnaIla mmepambana wanawake mliochangia huu uzi,mimi naona kama mmevuliwa nguo flani hivi,hasa mtu kwa mtu aliyetoa huu uzi kujinadi kuwa na umri mkubwa! Angekuwa middle age ni sawa. Busara haikutumika,hata kama kuna ukweli! Sidhani kamavmkewe ni mkamilifu,mbona hakutupia tips chache za upungufu wa mkewe,mi naona kiki flani hivi,na wanaume wasiojiamini pekee ndio wamesapoti hii slend. Mi najiondoa .faragha ibaki kuwa faragha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mwanamke niache kabisa,
Hivi unajua nyie ndo mlituletea dhambi hapa duniani
Shetani niepushe kabisa
Mimi sijawahi kukutongoza humu ujue kwanza
Niache kabisaaaaaaa
Endelea kutafuta wanaume ila mimi niache kabisaaaaaa
Mimi siyo type yako kabisaaa
Natembea na wanawake wasafiiiiiii
Type kama zari vileeeeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww nakukubali sana
Hahaaaa ... humu ndani kumbe kuna visa hivi !!!!Hivi we GuDumee utaacha lini tabia ya kumfungulia nyuzi humu kila mwanamke aliyekuchuna? - JamiiForums
Tuendelee na ubuyu wa funga mwaka
Sent using Jamii Forums mobile app