Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Wewe mwanamke niache kabisa,

Hivi unajua nyie ndo mlituletea dhambi hapa duniani

Shetani niepushe kabisa

Mimi sijawahi kukutongoza humu ujue kwanza

Niache kabisaaaaaaa

Endelea kutafuta wanaume ila mimi niache kabisaaaaaa

Mimi siyo type yako kabisaaa

Natembea na wanawake wasafiiiiiii

Type kama zari vileeeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahaaa poa dogo .tumshukuru mungu tuanze mwaka salama.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzuri hakuna mwanamke Jf anategemea wanaume wa Jf usione hivi tuna maisha yetuuu na huku tunakujaga kuzuga wengine wapelelezi kwahiyo kuwa makini
Ni kweli dada yangu,but kwa slend id za kike zita drop down kwenye soko la hisa.kiufupi hata mjikaze jamaa kaharibu sana, hata kama hatujuani,wanaume wengi watawadharau kuanzia sasa,hii slend ni kirusi kibaya.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom