Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Uzuri hakuna mwanamke Jf anategemea wanaume wa Jf usione hivi tuna maisha yetuuu na huku tunakujaga kuzuga wengine wapelelezi kwahiyo kuwa makini

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wapelelezi , humu wanapeleleza nini ,hasa kwenye uzi kama huu,oooh gosh sasa nimepata jibu kwanini gudume kafanya utafiti ,haaahaa, demiiis now you want to tell me ur spy in stead of kudangaaa.. Hahahahaa ( joking)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu anashinda jf masaa 24 jiulize anakula saa ngapi anapata wapi hela ya bundle kuwa makini[emoji23][emoji23][emoji23]utaliwaaaa

Alafu hii vita huwez ielewa wajanja tupo kimyaaa
Sasa wapelelezi , humu wanapeleleza nini ,hasa kwenye uzi kama huu,oooh gosh sasa nimepata jibu kwanini gudume kafanya utafiti ,haaahaa, demiiis now you want to tell me ur spy in stead of kudangaaa.. Hahahahaa ( joking)

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahah... Braza... Mara kadhaa nimeona post zako za wasiwasi wa hizi jinsia...

Kuna siri unaijua nini?
Hapana mkuu, ujue misijawahi kujiona na member yeyote wa jf. Sasa hii inanipa wakati mgumu sana kuamini kama kweli jf kuna Ke.
Ama kwa lugha nyepesi, mimi ni tomaso na hadi nione ndipo nitaamini mkuu, maana humu jf people are very janja sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana mkuu, ujue misijawahi kujiona na member yeyote wa jf. Sasa hii inanipa wakati mgumu sana kuamini kama kweli jf kuna Ke.
Ama kwa lugha nyepesi, mimi ni tomaso na hadi nione ndipo nitaamini mkuu, maana humu jf people are very janja sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahah...

Ila we mtu maarufu mzee...

Kweli hujawahi 'kuthibitishiwa' humu kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mwanamke niache kabisa,

Hivi unajua nyie ndo mlituletea dhambi hapa duniani

Shetani niepushe kabisa

Mimi sijawahi kukutongoza humu ujue kwanza

Niache kabisaaaaaaa

Endelea kutafuta wanaume ila mimi niache kabisaaaaaa

Mimi siyo type yako kabisaaa

Natembea na wanawake wasafiiiiiii

Type kama zari vileeeeee

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahahhahahhahhahhahahhahahhahahhahahahhahahahhahahahhahahahahhahahhahahhahahhahhahhhaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom