Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Kweli kabisa wanawake wa humu ni wale waliomaliza maisha yao ya ujana ukiomba mke humu majanga jitu linakuja lina watoto 3 au wale wabaya wabaya ndio wako humu demu mkali huwez kumkuta humu jamii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa dada nikutakie usiku mwema,ila naomba uniote kwenye ndoto yako usiku wa leoTeh teh teh
[emoji23] Kwanini unamjibia? Nina maana yanguNi malaya ila alikosea heruf moja.
Nimeshakonnecti dot. Ngoja nitiririke kivyangu. Wewe ni miongoni mwa mliojitokeza kuchangamkia offer ya huyu bwana, fainali akagundua unajiuza na hii ni baada ya kuwaona rafiki zako, isipokuwa ulimpa alichoomba, ila kibamia chake kikakukera ukammwaga, na yeye kapaniki, leo tunae hapa jamvini anamwagika.Teh teh teh
Mwamba ngoma huvutia kwake
Haki sijui mkuu...[emoji30][emoji30]Hahahahah...
Ila we mtu maarufu mzee...
Kweli hujawahi 'kuthibitishiwa' humu kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3] siyo ya kucheka haya kabisa daah.. Unasema kwamba amekata tamaa lakini humu Ni machachari hakuna mfano.. Labda ndo anakopata faraja tuvumiliane tuuBinafsi nisingeweza kuelezea Hali halisi ilivyo kama mleta mada.
Kuna watu humu wako machachari Sana lakini ukifanikiwa kuonana nao ni watu waliokata tamaa sana
Sent using Jamii Forums mobile app