Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Siasani huwa napata moto
Kuna watu wana karaha kule

Mie chitchat na JLW maisha yangu yanakuwa laini (smooth)
Siasani nikionaga mtu kaniqoute nasoma comment kwa utulivu maana hawakawii kukuharibia siku kule.
Mie Chit Chat jamani hapana kama nimerogewa. Najikutaga topic nyingi ninazoingia ni za huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom