Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Upepo umehamia uku doooh hatareee na ukweli lazma usemwe atakama unauma ila guys tutaogopa kumeet nanyie sababu ndo kama hizi [emoji20] [emoji20] [emoji20] [emoji20]
Usiogope mama. Nenda na akili zako timamu ukikutana nao hutakutana na hizi. Shida ni kwamba ukute umeenda kuonana na mtu halafu ukamuelewa akaomba game ukampa ndo yaleee ya kuitwa malaya/kahaba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani hili jimoyo langu hili

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji30][emoji30][emoji30]
29-stinky-heart-going-bad-emoji-cartoon-clipart.jpeg
 
Back
Top Bottom