Gudume mimi nakuelewa sana, ni mmoja wa watu wenye kichwa humu na moyo wako, watu tu mavichwa ngumu hawakuelewi.
Ila hao wadada uliowasiliana nao wapuuzi sana kuna mmoja kiazi sana ila nashangaa sana aina ya wanaume anaowasiliana mpaka nasema sasa hawa huwa mnaongea nini? kuna vichwa humu nkisikia picha zao zinasambazwa na wadada, wanaongelea mambo ya kifala sielewi nabaki nashangaa.
Kuna siku nilimuuliza mmoja wewe, gudume, na k .. nawaaminia sana lakini ilikuwaje mkamzoea yule mama? oneni sasa anavyowatendea.
Akanijibu "sisi wanaume akili zetu tunazijua wenyewe, huwa anatushika pabaya"