Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Sasa si ungefungua Uzi tu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi huwa nakosa wakutongoza, maana wazur wengi mtaan wanajifanya wagumu.
Labda shule ndo huwa raha unapata wa darasan kiurani kwan anakuona mara kwa mara.

Sasa kama nyie na kutongozwa kitaa mnatongozwa sana... Mimi naona kuwakomesha wanaume wa humu wakija kuwatongoza nyie wapigen chenga tu, wakataeni.
Sidhani labda mtu afunge masikio asiwasikilize ila kutongozwa kupo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahhahaha yani acha tu piemu watu wanashinda huku ila ni watakatifu tunawachora tu shweeenzy nyieeee

Sent using Jamii Forums mobile app
Oou oouk Naona mnarusha mashambulizi kwa mbali mbali.. Muhimu msogee karibu karibu tufunge mwaka..[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23]

Sitaki kuamini unateseka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kumbe huwa unanichora honey!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…