Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

habari zenu jamani

Tukumbuke kumwomba Mungu , kipindi , hiki cha kuelekea mwisho
Wa mwaka kuliko kutupiana madongo yasiyo na lazima

Tumwombe mungu msamaha kwa uzinzi mbali mbali tuliofanya , mimi nusura nimsaliti mke wangu nlkua nshavua kila kitu when i rememberd my hunny's face , i steped out frm that ideal

GOD is mercifully kwa makosa yetu kwa dini zetu zote , ingawa mimi naamini uwepo wa mungu ila dini mmmh !!

MWAKA ujao ukawe wa mafanikio kwetu , tu avoid vitu vya kipumbavu ambavyo havitoteletea msaada wowote

Mfano jamani wakina kaka na baba, tujitahidi kuzitunza family zetu kuliko side chicks , tafuta negotiation yeyote uishi vizuri na yule unayempenda. Huyo side chick she will just use you hafu you know what , the day you get a problem ni family yako itakua na wewe

Onyesha upendo sio kwa wife tu start with your children , do things to them as your responsibility ...

Mimi kwa mfano kila jumamosi , nyumba ni kubwa , mimi my son swalehe (not his real name )na dada ake na mama ake huwa tunacheza kombolela yaani serious kombolela na michezo mingine mingi sana
Mimi kupika mboga kama mama swalehe kapika wali is an easy thing

We love each other , we care each other , tunachukuliana mapungufu yetu

Na kwa wadada na wanawake nadhani kinachowaponza sana ni mdomo mdomo mdomo maweee ma dears mdomo , hakuna mwanaume anayependa mdomo kutoka kwa mwanamke , simaanishi ukionewa ukae kimya ila tafuta best way ya kuleata negotiation , sio kumfokea hubby wako ka mtt

Huu uwe mwaka wa kuketa tumain jipya kwetu sote watanzania , tufanye mambo yetu kwa umakini , tukitumia akili zetu kwa usahihi

Nawapenda mno wana jf , sina chuki na mtu humu , zaidi zaidi nimekuwa ni mtu wa matani sana

Naomba mniombee wakuu nimalize phd yangu salama

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa si ungefungua Uzi tu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi huwa nakosa wakutongoza, maana wazur wengi mtaan wanajifanya wagumu.
Labda shule ndo huwa raha unapata wa darasan kiurani kwan anakuona mara kwa mara.

Sasa kama nyie na kutongozwa kitaa mnatongozwa sana... Mimi naona kuwakomesha wanaume wa humu wakija kuwatongoza nyie wapigen chenga tu, wakataeni.
Sidhani labda mtu afunge masikio asiwasikilize ila kutongozwa kupo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana kuwa unavyotaka kuwa usiwe mnafki. Huku watu wanafki sana. Kuna mwanaume anajifanya mstaarabu sijui hatongozi lakini kuwa anashinda pm kwa wadada. Au mwingine anakua na ID mbili moja anajifanya mtu wa busara ila nyingine ni takataka ambayo hata jalala haiitaki kwa uchafu wake.
Ukiishi huku kuwa wewe. Usifuate mkumbo. Usiwe mnafki au kujiona wewe ndio msafi sana. Kutwa kunyooshea wengine vidole. Kusema sema wanawake wanadanga wakati ndo unashinda pm zao. Na sisi tunawachoraga tu mnavyojishaua huku ila pm mnajitumisha mimeseji

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhahaha yani acha tu piemu watu wanashinda huku ila ni watakatifu tunawachora tu shweeenzy nyieeee

Sent using Jamii Forums mobile app
Oou oouk Naona mnarusha mashambulizi kwa mbali mbali.. Muhimu msogee karibu karibu tufunge mwaka..[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NMEAMIANI ALICHOSEMA MLETA UZI. Kuna makahaba toka jana yanazunguka zunguka humu kujikosha na kujisafisha. Yameacha kulea au sijui hayana kazi. Yanacheka cheka na kusupportiana kwa namna mbalimbali

Mwanaume FISI AKIJA KWA AKILI NDOGO TU KWENYE HUU UZI ATAONDOKA NA MIZOGA MINGI. imo inazunguka zunguka tu kutafuta mabwana. Halafu mnakuja kulalamika hakuna waoaji siku hizi. Utaolewaje huna hata heshima na sisi waoaji tunataka mwanamke anayejiheshimu?

Mimi kwenye huu uzi nimeunganisha dots. Wahusika kwa asilimia 95 bado wamo humu humu kwenye uzi wanazunguka zunguka huku nao wakizungukwa na inzi.

Yeye mtoa mada ameendelea na maisha yake.katuachia sisi mafisi [emoji23][emoji23][emoji23] (sometime) na mizoga yetu imo humu humu. Wanawake wenye akili wamejibu mara moja then wamekuwa busy na maisha yao.
[emoji23][emoji23]

Sitaki kuamini unateseka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana kuwa unavyotaka kuwa usiwe mnafki. Huku watu wanafki sana. Kuna mwanaume anajifanya mstaarabu sijui hatongozi lakini kuwa anashinda pm kwa wadada. Au mwingine anakua na ID mbili moja anajifanya mtu wa busara ila nyingine ni takataka ambayo hata jalala haiitaki kwa uchafu wake.
Ukiishi huku kuwa wewe. Usifuate mkumbo. Usiwe mnafki au kujiona wewe ndio msafi sana. Kutwa kunyooshea wengine vidole. Kusema sema wanawake wanadanga wakati ndo unashinda pm zao. Na sisi tunawachoraga tu mnavyojishaua huku ila pm mnajitumisha mimeseji

Sent using Jamii Forums mobile app
kumbe huwa unanichora honey!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom