habari zenu jamani
Tukumbuke kumwomba Mungu , kipindi , hiki cha kuelekea mwisho
Wa mwaka kuliko kutupiana madongo yasiyo na lazima
Tumwombe mungu msamaha kwa uzinzi mbali mbali tuliofanya , mimi nusura nimsaliti mke wangu nlkua nshavua kila kitu when i rememberd my hunny's face , i steped out frm that ideal
GOD is mercifully kwa makosa yetu kwa dini zetu zote , ingawa mimi naamini uwepo wa mungu ila dini mmmh !!
MWAKA ujao ukawe wa mafanikio kwetu , tu avoid vitu vya kipumbavu ambavyo havitoteletea msaada wowote
Mfano jamani wakina kaka na baba, tujitahidi kuzitunza family zetu kuliko side chicks , tafuta negotiation yeyote uishi vizuri na yule unayempenda. Huyo side chick she will just use you hafu you know what , the day you get a problem ni family yako itakua na wewe
Onyesha upendo sio kwa wife tu start with your children , do things to them as your responsibility ...
Mimi kwa mfano kila jumamosi , nyumba ni kubwa , mimi my son swalehe (not his real name )na dada ake na mama ake huwa tunacheza kombolela yaani serious kombolela na michezo mingine mingi sana
Mimi kupika mboga kama mama swalehe kapika wali is an easy thing
We love each other , we care each other , tunachukuliana mapungufu yetu
Na kwa wadada na wanawake nadhani kinachowaponza sana ni mdomo mdomo mdomo maweee ma dears mdomo , hakuna mwanaume anayependa mdomo kutoka kwa mwanamke , simaanishi ukionewa ukae kimya ila tafuta best way ya kuleata negotiation , sio kumfokea hubby wako ka mtt
Huu uwe mwaka wa kuketa tumain jipya kwetu sote watanzania , tufanye mambo yetu kwa umakini , tukitumia akili zetu kwa usahihi
Nawapenda mno wana jf , sina chuki na mtu humu , zaidi zaidi nimekuwa ni mtu wa matani sana
Naomba mniombee wakuu nimalize phd yangu salama
Sent using
Jamii Forums mobile app