General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Aisee,Safari njema mnaosakana humu
Kama mimi. Yani kuna sehemu nasoma najiona mbona kama mimi halafu nasoma tena najiona. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nnavyoendelea kusoma
Kuna picha za wadada zinakuja
Yaan ukimtaja huyu nafikiria flani , sijui kichwa changu kipo sahihi
Sent using Jamii Forums mobile app
Siasani nikionaga mtu kaniqoute nasoma comment kwa utulivu maana hawakawii kukuharibia siku kule.Siasani huwa napata moto
Kuna watu wana karaha kule
Mie chitchat na JLW maisha yangu yanakuwa laini (smooth)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Usiwaache wenzio unajua kupata mpenzi ilivyo shida??Aisee,
Siku nikisaka mtu humu, jua wa mtaani wamenishindaaa....
Hapa tu kichwa kinauma jinsi ya kuwaacha hawa nilionao na roho zao zituliee....
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee,
Siku nikisaka mtu humu, jua wa mtaani wamenishindaaa....
Hapa tu kichwa kinauma jinsi ya kuwaacha hawa nilionao na roho zao zituliee....
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawapeleka wapi sasa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Usiwaache wenzio unajua kupata mpenzi ilivyo shida??
Sent using Jamii Forums mobile app
Siasani nikionaga mtu kaniqoute nasoma comment kwa utulivu maana hawakawii kukuharibia siku kule.
Mie Chit Chat jamani hapana kama nimerogewa. Najikutaga topic nyingi ninazoingia ni za huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu kubadilika, jua anaelimikaa....Bora uwaache mapema
Ila mwandiko wako unavutia nowadays