Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Uko nyuma wakat naandika sana nyuzi za mapenzi , walimiminika sana , Niliongeaga sana juu ya Mashoga wawili walonifata PM.


Tartizo nikisemaga...wanaona km natafuta umaarufu [emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nafurah kuona shuhuda km izi ni nyingi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukweli mtupu
 

Dah!

Pole mazee.

Hilo jina linanichekeshaga sana.

Ila nawe una mavurugu mno.
 
Dah!

Pole mazee.

Hilo jina linanichekeshaga sana.

Ila nawe una mavurugu mno.
Hahahaha siku izi nmeacha Fujo,, Finally Mzee wangu amekuja kunambia. nisikae kutoa fujo kwa mwanamke mbele ya wanawake wenzake hata km kakosea maana wanawake watakaokutizama wengi wao watakuchukia naitakua ngumu kupata mwanamke akupende.


Tatizo, sheria za maisha yangu zilizopo kichwan, zimeshagoma kabisa kubadilika, kila mwanadam lazima aishiwe sawasawa iwe kwa uzuri au ubaya.
 
Hakuna kitu kizuri kama kumpata mwanamke mwenye akili,pia sijawah ona mwanamke mwenye akili akishinda humu mitandaoni zaidi utamuona anasoma issues za maisha au kazi yake basi kamaliza bundle lake
 
GuDume nisamehe nilikufananisha na binadamu mmoja ambaye ka join juzi anaitwa Luckime Kanitolea maneno ambayo hata Mods walipaswa kuyasoma. Msalimie my wife wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…