bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,646
Ndo nn ss mkuu kuumizana mbavuuuu!!!!!Ohooo!mambo yashakua mengi!!![emoji124][emoji124][emoji125][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Siasani huwa napata moto
Kuna watu wana karaha kule
Mie chitchat na JLW maisha yangu yanakuwa laini (smooth)
Haka kajina(in ha) ni kama nimewahi kukaona kwenye ka movie ka kikorea...
Wanawake wanaotetea wanaume wa humu nao wamepagawa tu hawana akili labda ni kujipendekeza wawapige mizinga kama kawaida yao [emoji6],wanaume wenye tabia njema humu ni wa manati wengi wao tabia mbaya tu malaya,wanadanga,wanaume wengi ni mashoga sema wanaficha,halaf eti mtu atuone wanawake tuna tabia mbaya ,hebu Gudume abadili mashoga wawe na tabia nzuri waache ushoga ndio aje upande wetu huu
Muache mkuu ana machungu na singo mazaz na mimi namuelewa ndo maana tunaelewana
Hahahaha wanavyoponda single mom utafikiri huko kwenye ukoo wao hakuna walozalishwa ,mtu haumizwi na single mom wa nyumbani kwao anaumizwa na sisi wa jf ambao hata hatuwategemei kwa lolote [emoji23][emoji23] halaf wengine wakiingia jf wanajisahau kama ni single mom ee maana comment zao bana wanajitoa kabisa[emoji23]Muache mkuu ana machungu na singo mazaz na mimi namuelewa ndo maana tunaelewana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaa. Huyu Pablo inabidi tumuombee mwanamke aliemuumiza apate dhambi maana anamfanya kijana wa watu anawewesekaHahahaha wanavyoponda single mom utafikiri huko kwenye ukoo wao hakuna walozalishwa ,mtu haumizwi na single mom wa nyumbani kwao anaumizwa na sisi wa jf ambao hata hatuwategemei kwa lolote [emoji23][emoji23] halaf wengine wakiingia jf wanajisahau kama ni single mom ee maana comment zao bana wanajitoa kabisa[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole zako pabloHahahahahaa. Huyu Pablo inabidi tumuombee mwanamke aliemuumiza apate dhambi maana anamfanya kijana wa watu anaweweseka
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu Pablo jina kubwa sana. Pablo mwenzie alikua anakuna kichwa kuhangaika na drug business yeye anakuna kichwa kuchamba singo mamaz wa JF
Kwa hiyo abadili jina sioHalafu Pablo jina kubwa sana. Pablo mwenzie alikua anakuna kichwa kuhangaika na drug business yeye anakuna kichwa kuchamba singo mamaz wa JF
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua mzigua,nikisema una stress utasema nawaponda single mother,mimi nimeweka msimamo wangu kwamba Kamwe siwezi kuoa single mother,Sasa hili Ni kosa??? Unataka unipangie mwanamke wa kuoa??? Kama kusema kuwa Mimi siwezi kuoa single mother Ni kosa,then utakuwa una matatizo yako.Hahahahahaa. Huyu Pablo inabidi tumuombee mwanamke aliemuumiza apate dhambi maana anamfanya kijana wa watu anaweweseka
Sent using Jamii Forums mobile app
nikisema mna stress utasema nawaponda single mother,mimi nimeweka msimamo wangu kwamba Kamwe siwezi kuoa single mother,Sasa hili Ni kosa??? Unataka unipangie mwanamke wa kuoa??? Kama kusema kuwa Mimi siwezi kuoa single mother Ni kosa,then utakuwa una matatizo yako.
Pablo usikasirike bana leo sikukuu weweeenikisema mna stress utasema nawaponda single mother,mimi nimeweka msimamo wangu kwamba Kamwe siwezi kuoa single mother,Sasa hili Ni kosa??? Unataka unipangie mwanamke wa kuoa??? Kama kusema kuwa Mimi siwezi kuoa single mother Ni kosa,then utakuwa una matatizo yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi nimeongelea wewe kuoa singo mazaz Pablo? Unaona sasa? Hapo nani anakua na stress sasa? Mimi naongelea wewe kuwasakama singo mamaz na sio uwaoe.Unajua mzigua,nikisema una stress utasema nawaponda single mother,mimi nimeweka msimamo wangu kwamba Kamwe siwezi kuoa single mother,Sasa hili Ni kosa??? Unataka unipangie mwanamke wa kuoa??? Kama kusema kuwa Mimi siwezi kuoa single mother Ni kosa,then utakuwa una matatizo yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu leo mwaka mpya embu sherehekea alooonikisema mna stress utasema nawaponda single mother,mimi nimeweka msimamo wangu kwamba Kamwe siwezi kuoa single mother,Sasa hili Ni kosa??? Unataka unipangie mwanamke wa kuoa??? Kama kusema kuwa Mimi siwezi kuoa single mother Ni kosa,then utakuwa una matatizo yako.
Sent using Jamii Forums mobile app