Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Big brains ni madaktar uko utawakuta Muhimbili, Makampuni ya Ujenzi uko , Ma IT .....hkl hajawah kua Big Brains kua Serious basi.
Cku hizi hawapo, watu wanasoma udaktar na u-engineer sabab wana maksi nzur, na izo maksi nyng znapatikana st something huko.
Pesa ndo kila kitu nowdays.
 

Hao WOTE ulio kutana nao na kuwaponda kama hawana uwezo mkubwa wa kufikiri jua ww ndiyo BOSS wao kwa kutokuwa na akili!
Uliweka hadi tangazo hapa la kutafuta ndoa kuonyesha uwezo wako wa hovyo wa kufikiri


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mara nyingi mtu unapata unachokitafuta. Kama ilivyo mitaani, mabinti wanaojielewa na waifu matirio wamo humu ukitulia vizuri na kuacha papara. Binafsi nimebahatika kupata binti wa kipekee sana humu, binti ambaye amegeuka na kuwa rafiki yangu mkubwa sana mpaka nashangaa niliwezaje kuishi bila yeye huko nyuma.

Huko nyuma ni kweli kulikuwa na turbulences mpaka nilipoamua kubadili approach. Badala ya kutafuta mpenzi au mtu wa kugegedana naye niliamua kutafuta rafiki. Na hapo ndipo mambo yalipobadilika. Mkiwa marafiki kwanza mkajuana vyema mema na mabaya yenu mengine yote yanakuja automatically. Lakini kama ukitupa kokoro la uchumba au kugegeda utavua kila aina ya mabinti; na kwa vile hapa siyo mbinguni na wenye makandokando watakuwemo.
 
Mimi nafikiri hata wanaume wanaotafuta wachumba mtandaoni wana sifa hizo hizo plus domo zege.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mke/Mume ni maisha kuna formula yake ya kumpata,huku mitandaoni ni sehemu ya kujifunza na kuondoa msongo tu wamawazo ili maisha yaendelee
 
Hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Huku Jamii forum mbona Niko miaka Mingi tangu kipind hiko naingia Kama guest mpk saiv nmekuwa member lkn simjui mtu kwamba huyu mwanamke huyu Mwanaume nyie wenzangu mnajuaje juaje
 
We we umejieleza tumekuelewa natamani na hao uliowaelezea wangeeleza na wewe wamekuchukuliaje!!....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…