Wewe muache mtu aseme fanya kinachokupa furaha. Hata huyo uliempa utamu akikutangaza atajua mwenyewe ila wewe moyo wako usharidhika.
Sent using Jamii Forums mobile app
mama umekuja kujitetea, huwa nakuelewa sana, kila member huku huwa analadha yake jamani si wote kufanana wengine kufanya ukasirike wengine uchekee. wengine kukufanya uitafute asubuhi kwa pasi ndefu yani, yani ni raha tupuMimi haujaniona kweli
Hizi ndizo akili za kiume,Mwanzo nlikuwa naamini wanawake walioko JF ni big brains, smart ones. Nikajiaminisha kwamba hapa ndo mahali pazuri pa kupatia mchumba.
Sikuwahi kuandika uzi wa kutafuta mchumba, but nimewafuata wale wanaotafuta kwenye PM zao sana. Nikaja kubahatika kumpata mdada mmoja ambaye niliona atanifaa kwani tulikuwa tunaendana kwa % kubwa plus tunatoka mkoa mmoja.
Tulianza mahusiano vizuri kabsa ambayo yalidumu kwa kipindi cha mwaka mmoja. Lakini mateso aliyokuja kunipa sitokaa niyasahau kamwe maishani mwangu. Mateso aliyonipa yule mwanamke yalikuw makubwa mnoo kwani yaligusa kila nyanja ya maisha yangu mpaka kazi yangu. Kwa funzo alilonipa yule mwanamke sidhan km kuna mwanamke atanipa shida tenaa maishan mwangu.
All in all namtakia maisha mema na Mungu ambariki.
Ndio ndio. Hata akichafua ushaenjoy zakoKabisa, mimi sema usemavyo hata hunigusi, toka lini kwanza mchafu akachafuka?
Wewe muache mtu aseme fanya kinachokupa furaha. Hata huyo uliempa utamu akikutangaza atajua mwenyewe ila wewe moyo wako usharidhika.
Sent using Jamii Forums mobile app
huu uzi leo wanaume wote leo ni boraaa..hawapo desperate,hawana shida kbs na maisha yao ya ndoa[emoji23][emoji23][emoji23].omamaaa
Naona mpo kwenye harakati za kuhamisha magoli. Pokeeni salam za gudume wadogo zangu
Naogopa utanogewa [emoji23][emoji23][emoji23]Nipe tena utamu basi...
Naona mpo kwenye harakati za kuhamisha magoli. Pokeeni salam za gudume wadogo zangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumezipokea mkuu na hatujakataa alichokisema sababu kwenye jamii yoyote hao watu wapoNaona mpo kwenye harakati za kuhamisha magoli. Pokeeni salam za gudume wadogo zangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo bebiz zako wengine watamind nakukula mwenyewe siwaachii nafasiNikinogewa si unaendelea tu kuninogesha kama Nandy...
Mimi haujaniona kweli
Ni ukweli mkuu japo katuongelea sisi tu. Huku tupo binadamu na kila mtu Ana tabia zake hivyo alichokisema kina ukweli sababu hao watu hata mtaani wapo.
Sema kanipa mawazo mimi sijui ndo niko kundi lipi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa, mimi sema usemavyo hata hunigusi, toka lini kwanza mchafu akachafuka?
Wewe ni single mother usibishe nakujua vzr Sana tena upo hapa dar
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naona umeshtukia mchezo daahhuu uzi ukipanik umekwisha...ni kma dreva akoswe koswe na ajali mbaya njia nzima anakuwa hayupo sawa...we ukiosave ajali kanyaga twendeee[emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona hiyo sio siri mkuu? Labda kama unanijua kivingine labda ushanila hivii ila hayo mawili ni kweli kabisa na nasemaga mwenyewe humuWewe ni single mother usibishe nakujua vzr Sana tena upo hapa dar
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo wanauza nyapu Sana kimya kimyahivi single maza wana nn kwan?jaman
Kwanini mtu azae bila bwana?????hivi single maza wana nn kwan?jaman