Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Mwanzo nlikuwa naamini wanawake walioko JF ni big brains, smart ones. Nikajiaminisha kwamba hapa ndo mahali pazuri pa kupatia mchumba.

Sikuwahi kuandika uzi wa kutafuta mchumba, but nimewafuata wale wanaotafuta kwenye PM zao sana. Nikaja kubahatika kumpata mdada mmoja ambaye niliona atanifaa kwani tulikuwa tunaendana kwa % kubwa plus tunatoka mkoa mmoja.

Tulianza mahusiano vizuri kabsa ambayo yalidumu kwa kipindi cha mwaka mmoja. Lakini mateso aliyokuja kunipa sitokaa niyasahau kamwe maishani mwangu. Mateso aliyonipa yule mwanamke yalikuw makubwa mnoo kwani yaligusa kila nyanja ya maisha yangu mpaka kazi yangu. Kwa funzo alilonipa yule mwanamke sidhan km kuna mwanamke atanipa shida tenaa maishan mwangu.

All in all namtakia maisha mema na Mungu ambariki.
Hizi ndizo akili za kiume,

Unabariki, unasahau nankufanya mengine!!

Habari za kufungua uzi na kushutumu wenzio angali tabia zako hatuzifahamu, bado tutaendelea kukuweka kwenye mabano....

Je GuDume unaweza tushawishi kwa maandishi yako kuwa wewe upo smart?

Tunatumia maandishi mana ndipo tunaweza kukupima, vingune hatuvijui.






Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni single mother usibishe nakujua vzr Sana tena upo hapa dar
Ni ukweli mkuu japo katuongelea sisi tu. Huku tupo binadamu na kila mtu Ana tabia zake hivyo alichokisema kina ukweli sababu hao watu hata mtaani wapo.
Sema kanipa mawazo mimi sijui ndo niko kundi lipi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom