Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

u said it all

Nakazia tu. Umezungumza ukweli 100%.

Japo, ume base zaidi upande wa wanawake kwa kuwa ndio uliowa research ila ipo hvyo hivyo kwa wanaume wenzako. Serious men with issues hawashindi majukwaa fulani fulani hv!

Pia, japo ulijitahidi sana kuyumbisha 'attitude' yako lkn watu makini walikustukia mapema sana kwamba unacheza mind games!, now you are the real you!
 
😂😂😂 ha ha ha....

Nakazia tu. Umezungumza ukweli 100%.

Japo, ume base zaidi upande wa wanawake kwa kuwa ndio uliowa research ila ipo hvyo hivyo kwa wanaume wenzako. Serious men with issues hawashindi majukwaa fulani fulani hv!

Pia, japo ulijitahidi sana kuyumbisha 'attitude' yako lkn watu makini walikustukia mapema sana kwamba unacheza mind games!, now you are the real you!
 
Mie naomba kuuliza ili niuanze mwaka mpya 2019 nikiwa updated.
Kuna sensa ilifanyika humu kujua idadi ya wanawake ni wangapi na wanaume ni wangapi??
Nimepitia comments za watu wanaodai kua wanawake wa humu wengi ni hao aliosema mtoa mada (wangapi) na wachache wanaojielewa (wangapi).

Msaada please [emoji4][emoji4][emoji4]
 
Daahhh.... Huu uzi unanifungia mwaka. NISEME UKWELI KUWA GUDUME YOU DIDNT FOOL ME KWA ZILE NYUZI ZAKO. nlikuja kugundua we jamaa una akili sema unapenda kujitoa akili kwa makusudi flani. Nlijifunza mengi sana kwako.uandishi wako ni wa pekee ambao ulinifanya nihisi huyu jamaa ni akili kubwa ila anapenda kuchezea uelewa wa watu.

Haya uliyoandika ni kweli. Humu ndani wapo makahaba. Wapo sana na mimi kuna moja lilitaka niingiza mjini nikalizidi maarifa dka za mwishoni kabisa.

Mkuu....uishi milele. Umenifunua sana macho maana kuna mtu kanifuata pm kuwa natoa siri zaksiri zake akidhani nmekwambia kumbe wala maskini ndo nikagundua kuwa hili jiwe limewagonga wengi.

Dada zanguni mtulie. Na sisi wanaume mafisi tutulie pia.
 
Gudume mimi nakuelewa sana, ni mmoja wa watu wenye kichwa humu na moyo wako, watu tu mavichwa ngumu hawakuelewi.

Ila hao wadada uliowasiliana nao wapuuzi sana kuna mmoja kiazi sana ila nashangaa sana aina ya wanaume anaowasiliana mpaka nasema sasa hawa huwa mnaongea nini? kuna vichwa humu nkisikia picha zao zinasambazwa na wadada, wanaongelea mambo ya kifala sielewi nabaki nashangaa.

Kuna siku nilimuuliza mmoja wewe, gudume, na k .. nawaaminia sana lakini ilikuwaje mkamzoea yule mama? oneni sasa anavyowatendea.

Akanijibu "sisi wanaume akili zetu tunazijua wenyewe, huwa anatushika pabaya"

Ha ha ha!

Happy Sunday.
 
Kutokana na ubusy na kazi yangu mara nyingi nlijikuta si mtu ambaye nina muda wa kukaa na mwanamke au kumchunguza mwanamke.nlichelewa sana kuoa lakini pia hata kupata mtu wa kumwita mchumba maana nlisha date sana wanawake wa kila aina.

Nikatangaza natafuta mchumba JF na sifa nikaziweka hadharani.ile thread ipo humu.hapo ndo nlikuja kuchoka sana.

Asilimia kubwa ya wanawake waliomo humu ni Single Parents.
Asilimia kubwa nyingine ni waliotendwa
Asilimia kubwa nyingine ni walioshindikana uraiani
Asilimia kubwa nyingije ni wasio na mvuto kwa wanaume.
Asilimia kubwa nyingine ni walio desperate.

Pamoja na kuwa niliweka vigezo kwenye tangazo nlikuja kuonana au kutumiwa picha na watu ambao hawana hivyo vigezo.mpaka nikawa mawauliza ina maana hamkuelewa ile thread? Maana upeo wa mtu unaanzia hapo.

Wengi ni form four leavers na wengine wakapata certificate au diploma flani.but ni elimu ambayo haikuwasaidia maana unapowasiliana nao unagundua hawana uelewa mzuri.

Wenye watoto bila waume ni wengi na wengi hawana akili isipokuwa nilikutana na wawili ambao hawa walionesha wamejifunza kitu na wanataka kufanya maisha.niliwapenda wakawa marafiki hatukuzungumzia habari ya mapenzi tena.nikawaheshimu.

Wengine wengi kama saba walikuwa ni wanawake ambao wanaweza zalishwa tena wakaachwa.and trust me wengi wanachoandika humu ndo akili zao zilivyo hata nje ya jukwaa. Yaani ni hopeless sana.

Nlifurahi kupata wadada wawili ambao mmoja yupo mkoani na mwingine yupo hapa. Tulipeana namba za simu.tukawa marafiki sana hasa tukishirikishana katika bizinez.hawa wadada mmoja amebadili ID yake.huyu ni mdada mwenye akili anafanya biashara flani halali na anatumia JF KWA KUFAHAMIANA NA WANAUME WENYE AKILI.

Mwingine ameajiriwa na anafanya biashara tukawa tunapeana sana ushauri na kusaidiana ktk namna mbalimbali. Yeye hata ID yake aliyotumia humu nliisahau maana tukawa tunawasiliana kwa siku zaidi na si mchangiaji sana MMU.

Nikapata wanne ambao hawa ni makahaba. Wawili wapo mikoani wawili wapo dar.wa mikoani tulizoeana nami nlikuwa na lengo la kujua kama wanachoandika humu ni kitu halisi au ni kuigiza kama wengi wafanyavyo.mmoja wa mkoani alinitumia picha zake mpaka za uchi na nlizihifadhi sehemu.tulizoeana akanambia mengi sana.mpaka alio date humu JF. Huyu hakuniomba pesa

Mwingine wa mkoani tulizoeana sana.akawana ananitaka nimtembelee au nimlete dar.akanambia kama sitojal tutumiane picha.nlimtumia akanitumia.akanambia kama nitampa pesa atanitumia hata picha za uchi wake ili nione kama unafaa au siyo.ninayo namba yake mpaka leo.but ni mdada ambaye asilimia 99 ya thread zake ni abt sex. Alinambia alisoma certificate flan.ila mpaka muda huo hakuwa ameajiriwa.

Dar alikuwepo single parent/mother mwingine. Alinambia amesoma sehemu flani na anafanya kazi.but nlipokuja onana naye nlipata mtizamo mwingine.kuwa huyo dada anajiuza.hasa baada ya kuona rafiki zake kadhaa ambao mmoja jamaa yangu alinambia ashamnunua mara kadhaa bar mbili tofauti. Wazungu wnasema show me your friends i will tell your character

Kuna wadada na wakaka wenye kujiheshimu JF wachache sana na wengi huwapati sana MMU. Kuna wanawake walioolewa ila wana matatizo na ndoa zao. Wanakuja kushinda humu ili wapewe faraja na vijana wadogo kwa kusifiwa n.k

Hao pia nawafahamu. Kuna mengi nlikuwa najifunza na kuyaandikia kitabu from social media.so nlikuwa na sura tofaut tofaut kwa malengo tofaut tofaut.mimi umri wangu mkubwa.nina familia kwa sasa. Nawashauri vijana wa kike na wakiume.social media zina mambo mengi.

Dont think unaweza pata mwanamke serious huko. Wachache sana.wachache sana narudia. Asilimia kubwa ni wenye matatizo.mwanamke mwenye kujiheshimu hawezi shinda MMU 24/7 huo muda anachat na anajifunza nini?

Nikajaribu kumuunganisha mke wangu MMU (nlitaka kumpima uelewa wake) alisoma threads za watu kadhaa akasema yeye si wa daraja hilo.haoni jambo la maana huko.

Nlimshawishi sana.akanigomea kabisa .akablock id yake sasa anasoma tu majukwaa ya biashara,siasa,intellejensia n.k

Nachosema ni kuwa si mbaya mwanamke kusoma au "sometime" kuingia MMU lakini huwezi pata mwnamke SERIOUS anajibishana na watu huko. Huyo hafai. Nawaambia wadogo zangu kutokana na uzoefu wangu.nmewahi date wanawake wenye akili na kujifaham tabia zao zinafanana kwa kiasi kikubwa

Nimewah date wanawake wasio na uelewa nao hufanana na wengi nimewaona kwenye Jukwaa Hili. MMU. I am sorry kama ntakuwa nmewakwaza.ila naamini katika kuongea ukweli.

Wanawake wengi walioshindikana na kushindwa na maisha wapo humu.wanawake wengi wanaojiuuza wapo humu,wanawake ambao wameshindwa kwa wanaume wao wamo humu.

Mwanamke mwenye staha huwez mpata humu.na kama yupo ni mmoja katika 100. Utaona hata mchango wake na lugha anayotumia.utaona hata avatar anayotumia.

Nawashauri vijana tufanyeni kazi.binafsi napenda mwanamke smart sababu mwanamke mpumbavu ni hasara kwa wazazi wake,mume na hata taifa pia.

Nina umri mkubwa wa kutosha kuelewa mambo haya na elimu yangu imenisaidia kuweza ku fit mazingira mengi na watu wa aina tofauti tofaut.

Nmepasua jipu.wengi hamtapendezwa lakini nmesema ukweli watu waweze kupona.mods huu uzi haujamtaja mtu na upo kwa lengo la kushauriana so haina haja ya kuu delete sababu pengine umewakwaza na nyie. Nitasema ukweli daima.fitina kwangu mwiko.
Naunga mkono hoja yako... Karibu Instanbul...

Sent from Ottoman empire Servers
 
NGOJA NISEME UKWELI NA MIMI

Mkuu ulichoandika ni kweli kwa asilimia 100. Kama kuna watu ambao walikuwa wanakuchukia humu ndani basi MIMI NILIKUWA NAMBA MOJA KWA KUMCHUKIA GUDUME. Nakumbuka nlishaandika sana nyuzi za kumlaani na kusema nitamtanya jambo flani.

Nlibadili ID yangu nikatafuta sababu ya kuonana naye ili nijue nifanye nini. Jamaa anionana nami lakin katika namna ambayo alikuwa na umakini flani nilikuja jifunza baadaye. Tulionge sana posta karibu na jengo la NIDA kuna mgawahawa wasomali mzuri.

Jamaa nligundua ni mtu smart, anajiamini na ana uelewa mkubwa sana.tulipiga stories ni tofauti na anavyoonekana humu ndani.TOFAUT SANA. alinisaidia kwa jambo ambalo nlikuwa nmejifanya kama ni tatizo ila alinipa namna ya kutatua ambayo nikasema ningekuwa na hilo tatizo kweli angekuwa amenisaidia sana.

Nje ya JF hapendi kuzungumzia JF. nlishangaa kwa nini. Nje anasema yeye si Gudume.so leo nmeelewa sana. Humu JF KUNA WATU WANA AKILI NA UELEWA MKUBWA. NASHUKURU SANA SINA CHUKI NAYE na yule dada kahaba ambaye alisababisha haya nimemsamehe ila ajifunze kitu pia. Maana hakufanikiwa hata kwa gudume.
 
Juzi juzi nliandika uzi humu kuhusu jambo hili. Bro umelisema kama ambavyo nliliwazia kabisa. Mimi ni mmoja ya watu ambao wanavutiwa sana na nyuzi zako na aina yako ya uandishi. Ndo ulinifanya nijiunge JF na pia somebody Hanga kwa sasa.

Nmekutana na makahaba humu. Wapo na pia hata MASHOGA WAPO tena wengi sana. Hawa walikuwa wananifuata na kunishauri niachane mademu pasua kichwa kama vipi waniungnishe ni mtu anayeweza nipa raha mpka basi. Wamo humu mashoga. Wengi tu.
 
Back
Top Bottom