Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Mkuu huu ni ukwel kwa kiwango kikubwa Sana

Nakumbuka Kuna bidada mmoja aliandika uzi wa kuwa hatoshelezwi na mme wake nikazama pm tukachati then tukabadilishana contact

Bidada huyu yupo mbeya ila nilikuja kujua ni malaya alie olewa maana alikuwa ananitumia picha za uchi Mara video akiwa anapiga punyote Lakin kaolewa

Siku moja akanitumia video akiwa anatiwa na kijamaa flan anadai ndio kina mtoa nyege nikaona huyo nae kicheche barabaran nikakausha kabsa mawasiliano nae

HIVYO hoja yako yawezekana ikawa na ukwel mkubwa Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwana bwana.
 
Dah,hapa nahisi ukweli ni mwingi kuliko uongo,ngoja tuendelee kusoma mitiririko..
Kutokana na ubusy na kazi yangu mara nyingi nlijikuta si mtu ambaye nina muda wa kukaa na mwanamke au kumchunguza mwanamke.nlichelewa sana kuoa lakini pia hata kupata mtu wa kumwita mchumba maana nlisha date sana wanawake wa kila aina.

Nikatangaza natafuta mchumba JF na sifa nikaziweka hadharani.ile thread ipo humu.hapo ndo nlikuja kuchoka sana.

Asilimia kubwa ya wanawake waliomo humu ni Single Parents.
Asilimia kubwa nyingine ni waliotendwa
Asilimia kubwa nyingine ni walioshindikana uraiani
Asilimia kubwa nyingije ni wasio na mvuto kwa wanaume.
Asilimia kubwa nyingine ni walio desperate.

Pamoja na kuwa niliweka vigezo kwenye tangazo nlikuja kuonana au kutumiwa picha na watu ambao hawana hivyo vigezo.mpaka nikawa mawauliza ina maana hamkuelewa ile thread? Maana upeo wa mtu unaanzia hapo.

Wengi ni form four leavers na wengine wakapata certificate au diploma flani.but ni elimu ambayo haikuwasaidia maana unapowasiliana nao unagundua hawana uelewa mzuri.

Wenye watoto bila waume ni wengi na wengi hawana akili isipokuwa nilikutana na wawili ambao hawa walionesha wamejifunza kitu na wanataka kufanya maisha.niliwapenda wakawa marafiki hatukuzungumzia habari ya mapenzi tena.nikawaheshimu.

Wengine wengi kama saba walikuwa ni wanawake ambao wanaweza zalishwa tena wakaachwa.and trust me wengi wanachoandika humu ndo akili zao zilivyo hata nje ya jukwaa. Yaani ni hopeless sana.

Nlifurahi kupata wadada wawili ambao mmoja yupo mkoani na mwingine yupo hapa. Tulipeana namba za simu.tukawa marafiki sana hasa tukishirikishana katika bizinez.hawa wadada mmoja amebadili ID yake.huyu ni mdada mwenye akili anafanya biashara flani halali na anatumia JF KWA KUFAHAMIANA NA WANAUME WENYE AKILI.

Mwingine ameajiriwa na anafanya biashara tukawa tunapeana sana ushauri na kusaidiana ktk namna mbalimbali. Yeye hata ID yake aliyotumia humu nliisahau maana tukawa tunawasiliana kwa siku zaidi na si mchangiaji sana MMU.

Nikapata wanne ambao hawa ni makahaba. Wawili wapo mikoani wawili wapo dar.wa mikoani tulizoeana nami nlikuwa na lengo la kujua kama wanachoandika humu ni kitu halisi au ni kuigiza kama wengi wafanyavyo.mmoja wa mkoani alinitumia picha zake mpaka za uchi na nlizihifadhi sehemu.tulizoeana akanambia mengi sana.mpaka alio date humu JF. Huyu hakuniomba pesa

Mwingine wa mkoani tulizoeana sana.akawana ananitaka nimtembelee au nimlete dar.akanambia kama sitojal tutumiane picha.nlimtumia akanitumia.akanambia kama nitampa pesa atanitumia hata picha za uchi wake ili nione kama unafaa au siyo.ninayo namba yake mpaka leo.but ni mdada ambaye asilimia 99 ya thread zake ni abt sex. Alinambia alisoma certificate flan.ila mpaka muda huo hakuwa ameajiriwa.

Dar alikuwepo single parent/mother mwingine. Alinambia amesoma sehemu flani na anafanya kazi.but nlipokuja onana naye nlipata mtizamo mwingine.kuwa huyo dada anajiuza.hasa baada ya kuona rafiki zake kadhaa ambao mmoja jamaa yangu alinambia ashamnunua mara kadhaa bar mbili tofauti. Wazungu wnasema show me your friends i will tell your character

Kuna wadada na wakaka wenye kujiheshimu JF wachache sana na wengi huwapati sana MMU. Kuna wanawake walioolewa ila wana matatizo na ndoa zao. Wanakuja kushinda humu ili wapewe faraja na vijana wadogo kwa kusifiwa n.k

Hao pia nawafahamu. Kuna mengi nlikuwa najifunza na kuyaandikia kitabu from social media.so nlikuwa na sura tofaut tofaut kwa malengo tofaut tofaut.mimi umri wangu mkubwa.nina familia kwa sasa. Nawashauri vijana wa kike na wakiume.social media zina mambo mengi.

Dont think unaweza pata mwanamke serious huko. Wachache sana.wachache sana narudia. Asilimia kubwa ni wenye matatizo.mwanamke mwenye kujiheshimu hawezi shinda MMU 24/7 huo muda anachat na anajifunza nini?

Nikajaribu kumuunganisha mke wangu MMU (nlitaka kumpima uelewa wake) alisoma threads za watu kadhaa akasema yeye si wa daraja hilo.haoni jambo la maana huko.

Nlimshawishi sana.akanigomea kabisa .akablock id yake sasa anasoma tu majukwaa ya biashara,siasa,intellejensia n.k

Nachosema ni kuwa si mbaya mwanamke kusoma au "sometime" kuingia MMU lakini huwezi pata mwnamke SERIOUS anajibishana na watu huko. Huyo hafai. Nawaambia wadogo zangu kutokana na uzoefu wangu.nmewahi date wanawake wenye akili na kujifaham tabia zao zinafanana kwa kiasi kikubwa

Nimewah date wanawake wasio na uelewa nao hufanana na wengi nimewaona kwenye Jukwaa Hili. MMU. I am sorry kama ntakuwa nmewakwaza.ila naamini katika kuongea ukweli.

Wanawake wengi walioshindikana na kushindwa na maisha wapo humu.wanawake wengi wanaojiuuza wapo humu,wanawake ambao wameshindwa kwa wanaume wao wamo humu.

Mwanamke mwenye staha huwez mpata humu.na kama yupo ni mmoja katika 100. Utaona hata mchango wake na lugha anayotumia.utaona hata avatar anayotumia.

Nawashauri vijana tufanyeni kazi.binafsi napenda mwanamke smart sababu mwanamke mpumbavu ni hasara kwa wazazi wake,mume na hata taifa pia.

Nina umri mkubwa wa kutosha kuelewa mambo haya na elimu yangu imenisaidia kuweza ku fit mazingira mengi na watu wa aina tofauti tofaut.

Nmepasua jipu.wengi hamtapendezwa lakini nmesema ukweli watu waweze kupona.mods huu uzi haujamtaja mtu na upo kwa lengo la kushauriana so haina haja ya kuu delete sababu pengine umewakwaza na nyie. Nitasema ukweli daima.fitina kwangu mwiko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi siachagi kumwambia. Anayoayaandika huku JF na alivyo mtaaani ni watu wawili tofauti. Mtaani ni mtu flani smart anajielewa sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa hiyo unadhibitisha kuwa upo katika population yake hivyo kuwa na chance ya kufall katika sample zake ? Usisahau population yake ni wadada wa JF alokutana nao
 
Lakini pia kwa mleta mada unachopaswa kujua JF ni jumuia. Kwa hiyo hayo ni mambo ya kawaida kabisa katika jumuia yoyote ile. Jumuia lazima iwe na mchanganyuko wa watu. Haiwezekani wakawepo watu wa aina fulani tu.

Hakuna jipya chini ya jua

Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama amepinga kuwepo aina ya hii jamii,ila ametoa tahadhari kwa wale wasio elewa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Whatever i did and texted/wrote back in days i did for a purpose. Trust me. Napenda kuwa yule mtu anayefahamika humu kama gudume naenjoy kuwa hivyo coz humu nakuwa huru kama gudume. nje nashindwa kutokana na mambo kadhaa.

So nikwambie tu ktk akili timamu mimi siwezi tafuta mchumba humu. Ila gudume anaweza tafuta mchumba humu. Mimi nmeoa zamani.ila gudume ameoa siku za hivi karibuni. Sijui kama umenielewa.

Niongee nini naameshasema yote kwenye kila neno mwanamke weka mwanaume.
Humu kama wapo watu serious niwanahesabika
Wengi hawajiamini wanahasira kujitambua ni shida pia wanakuhukumu mapema .
Akikukuta simu busy unaongea nanani au umeanza umalaya .
Dah maisha sio humu.
Kuna mtu kanipa ushauri kipindi natafuta mtu humu nasio yeye tu.
Na baadhi ya wanawake.
Ushauri walionipa 2019 ndio nitatekeleza.
Basiii kwa maana humu kuna mtu kasemaje mtu akitafuta mchumba humu ni hana akili hajakosea so kamkashifu mtoa mada .
 
Sawa sawa.. mtoto mzuri.

Haya yasemwayo yakweli?
Kama kachukua muda wake kuandika habari ndefu kiasi hiki inawezekana ni kweli...ila inaweza kuwa sio kweli pia

Ila kuna sehemu nimeona kama kwa hajapatia hivi,kuhusu mtu kupendelea jukwaa la MMU na hizo tabia alizoziongelea za wadada hapo juu

Ila mwisho wa siku kama yaliyosemwa ni ya kweli,wenye ID za waliokutana/wasiliana na GuDume watakua wameupata ujumbe wao
 
Kutokana na ubusy na kazi yangu mara nyingi nlijikuta si mtu ambaye nina muda wa kukaa na mwanamke au kumchunguza mwanamke.nlichelewa sana kuoa lakini pia hata kupata mtu wa kumwita mchumba maana nlisha date sana wanawake wa kila aina.

Nikatangaza natafuta mchumba JF na sifa nikaziweka hadharani.ile thread ipo humu.hapo ndo nlikuja kuchoka sana.

Asilimia kubwa ya wanawake waliomo humu ni Single Parents.
Asilimia kubwa nyingine ni waliotendwa
Asilimia kubwa nyingine ni walioshindikana uraiani
Asilimia kubwa nyingije ni wasio na mvuto kwa wanaume.
Asilimia kubwa nyingine ni walio desperate.

Pamoja na kuwa niliweka vigezo kwenye tangazo nlikuja kuonana au kutumiwa picha na watu ambao hawana hivyo vigezo.mpaka nikawa mawauliza ina maana hamkuelewa ile thread? Maana upeo wa mtu unaanzia hapo.

Wengi ni form four leavers na wengine wakapata certificate au diploma flani.but ni elimu ambayo haikuwasaidia maana unapowasiliana nao unagundua hawana uelewa mzuri.

Wenye watoto bila waume ni wengi na wengi hawana akili isipokuwa nilikutana na wawili ambao hawa walionesha wamejifunza kitu na wanataka kufanya maisha.niliwapenda wakawa marafiki hatukuzungumzia habari ya mapenzi tena.nikawaheshimu.

Wengine wengi kama saba walikuwa ni wanawake ambao wanaweza zalishwa tena wakaachwa.and trust me wengi wanachoandika humu ndo akili zao zilivyo hata nje ya jukwaa. Yaani ni hopeless sana.

Nlifurahi kupata wadada wawili ambao mmoja yupo mkoani na mwingine yupo hapa. Tulipeana namba za simu.tukawa marafiki sana hasa tukishirikishana katika bizinez.hawa wadada mmoja amebadili ID yake.huyu ni mdada mwenye akili anafanya biashara flani halali na anatumia JF KWA KUFAHAMIANA NA WANAUME WENYE AKILI.

Mwingine ameajiriwa na anafanya biashara tukawa tunapeana sana ushauri na kusaidiana ktk namna mbalimbali. Yeye hata ID yake aliyotumia humu nliisahau maana tukawa tunawasiliana kwa siku zaidi na si mchangiaji sana MMU.

Nikapata wanne ambao hawa ni makahaba. Wawili wapo mikoani wawili wapo dar.wa mikoani tulizoeana nami nlikuwa na lengo la kujua kama wanachoandika humu ni kitu halisi au ni kuigiza kama wengi wafanyavyo.mmoja wa mkoani alinitumia picha zake mpaka za uchi na nlizihifadhi sehemu.tulizoeana akanambia mengi sana.mpaka alio date humu JF. Huyu hakuniomba pesa

Mwingine wa mkoani tulizoeana sana.akawana ananitaka nimtembelee au nimlete dar.akanambia kama sitojal tutumiane picha.nlimtumia akanitumia.akanambia kama nitampa pesa atanitumia hata picha za uchi wake ili nione kama unafaa au siyo.ninayo namba yake mpaka leo.but ni mdada ambaye asilimia 99 ya thread zake ni abt sex. Alinambia alisoma certificate flan.ila mpaka muda huo hakuwa ameajiriwa.

Dar alikuwepo single parent/mother mwingine. Alinambia amesoma sehemu flani na anafanya kazi.but nlipokuja onana naye nlipata mtizamo mwingine.kuwa huyo dada anajiuza.hasa baada ya kuona rafiki zake kadhaa ambao mmoja jamaa yangu alinambia ashamnunua mara kadhaa bar mbili tofauti. Wazungu wnasema show me your friends i will tell your character

Kuna wadada na wakaka wenye kujiheshimu JF wachache sana na wengi huwapati sana MMU. Kuna wanawake walioolewa ila wana matatizo na ndoa zao. Wanakuja kushinda humu ili wapewe faraja na vijana wadogo kwa kusifiwa n.k

Hao pia nawafahamu. Kuna mengi nlikuwa najifunza na kuyaandikia kitabu from social media.so nlikuwa na sura tofaut tofaut kwa malengo tofaut tofaut.mimi umri wangu mkubwa.nina familia kwa sasa. Nawashauri vijana wa kike na wakiume.social media zina mambo mengi.

Dont think unaweza pata mwanamke serious huko. Wachache sana.wachache sana narudia. Asilimia kubwa ni wenye matatizo.mwanamke mwenye kujiheshimu hawezi shinda MMU 24/7 huo muda anachat na anajifunza nini?

Nikajaribu kumuunganisha mke wangu MMU (nlitaka kumpima uelewa wake) alisoma threads za watu kadhaa akasema yeye si wa daraja hilo.haoni jambo la maana huko.

Nlimshawishi sana.akanigomea kabisa .akablock id yake sasa anasoma tu majukwaa ya biashara,siasa,intellejensia n.k

Nachosema ni kuwa si mbaya mwanamke kusoma au "sometime" kuingia MMU lakini huwezi pata mwnamke SERIOUS anajibishana na watu huko. Huyo hafai. Nawaambia wadogo zangu kutokana na uzoefu wangu.nmewahi date wanawake wenye akili na kujifaham tabia zao zinafanana kwa kiasi kikubwa

Nimewah date wanawake wasio na uelewa nao hufanana na wengi nimewaona kwenye Jukwaa Hili. MMU. I am sorry kama ntakuwa nmewakwaza.ila naamini katika kuongea ukweli.

Wanawake wengi walioshindikana na kushindwa na maisha wapo humu.wanawake wengi wanaojiuuza wapo humu,wanawake ambao wameshindwa kwa wanaume wao wamo humu.

Mwanamke mwenye staha huwez mpata humu.na kama yupo ni mmoja katika 100. Utaona hata mchango wake na lugha anayotumia.utaona hata avatar anayotumia.

Nawashauri vijana tufanyeni kazi.binafsi napenda mwanamke smart sababu mwanamke mpumbavu ni hasara kwa wazazi wake,mume na hata taifa pia.

Nina umri mkubwa wa kutosha kuelewa mambo haya na elimu yangu imenisaidia kuweza ku fit mazingira mengi na watu wa aina tofauti tofaut.

Nmepasua jipu.wengi hamtapendezwa lakini nmesema ukweli watu waweze kupona.mods huu uzi haujamtaja mtu na upo kwa lengo la kushauriana so haina haja ya kuu delete sababu pengine umewakwaza na nyie. Nitasema ukweli daima.fitina kwangu mwiko.
Mpenzi/mchumba/mke anapatikana nyumbani tulikozaliwa au tulikokulia.. shuleni na vyuoni tulikosoma.. mitaani tunakoishi sasahivi.. na kule tunakotafuta mikate yetu ya kila siku.. kamwe siyo kwa social media.
Ukitangaza kutafuta mke au mme kwa social media tayari watu tunajua kuna shida mahala.

Yaani hadi kwenye daladala, kwenye mabasi wakati wa kussfiri, beach etc mchumba hajapatikana hadi atafutwe kwa social media?

Ninachokiamini mimi mtu kutangaza anatafuta mke/mme kwa social media kwa ufupi ni kwamba anatafuta kipoozeo tu.

Maisha ya kwa social media is almost always fake, thats y hata IDs zetu ni za uongo.. na wale wa kwa insta na facebook picha zao wanazi-edit.. na picha zinazopostiwa ni zile za kwa mbuga za wanyama, mahoteli mazuri na beach..utafikiri ndo tunakoishi huko.
 
kama msemaji wa wanaume wapenda misambwanda{WAWAMI}..nasema wanawake endeleeni kukutana na sisi pm as long as uko na tako kuuuuubwaa....akili waachieni wakna elon musk,,isack newton....na kna davinc uko,,,si tunataka mtoto ukilala kifudi fudi mzigo unakua kama vyungu vya ulanzi....kwahyo ata msiogope,,,,,,,
 
Back
Top Bottom