Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Sema kwa post hii JF wafute tu Jukwaa La Love Connect halina maana tena. Kumbe kuna watu wanaandika huku wanatafuta wapenzi kumbe lengo lao wanataka kutuchora waje watuanike madhaifu yetu huku.


Sent using Jamii Forums mobile app
Sister hakuna mwanamke anaejielewa ukiletwa uzi wa kutafuta mchumba ataenda pm kwa mwanaume huyo wote walio enda kwa huyu GUBU DUME ni wadangaji wenye malengo kama yake.
 
Mimi huwa nakosa wakutongoza, maana wazur wengi mtaan wanajifanya wagumu.
Labda shule ndo huwa raha unapata wa darasan kiurani kwan anakuona mara kwa mara.

Sasa kama nyie na kutongozwa kitaa mnatongozwa sana... Mimi naona kuwakomesha wanaume wa humu wakija kuwatongoza nyie wapigen chenga tu, wakataeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimkatae kama nimempenda je?? Nikimpenda simkatai akinitangaza nadanga au maharage ya Mbeya atajua mwenyewe na utapiamlo wake wa ubongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna watu nasubiri wachangie mada hii nawaona online wanavunga hawajauona uzi huu.....😀😀😀😀😀 angekua uraiani angeshapigwa risasi baki huko huko kwa keyboards.... nasubiri thread za wale kujitetea na tuhuma hizi
Gudume ametoa utafiti wake but kuna swali la kujiuliza mpaka wanawake wamefika hapo 1-je hakuna wanaume tuliochangia kuwafisha hapo au kinyume chake?
2.-je hatuoni threads za wanaume nyingi tu ambazo ziko negative towards KE?
3-je kuna nini kwenye conservatve society kama zanzibar divorce rate imekuwa kubwa kiasi cha kufungua shule za mahusiano?
4-je hatuoni ni makosa kudhania wana jf kuwa tofauti sana na hao walioko mtaani.
5-Tunahitaji sana wataalamu wa kubadili mitazamo yetu kwenye Mahusiano
 
Sister hakuna mwanamke anaejielewa ukiletwa uzi wa kutafuta mchumba ataenda pm kwa mwanaume huyo wote walio enda kwa huyu GUBU DUME ni wadangaji wenye malengo kama yake.
Kweli mama. Wanaoenda huko nao hawajielewi. Mtu humjui hakujui unaendaje kumkubalia ombi pm? Ukikuta ni mzee kama babu yako je?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dah mwanawane kama unakapoint vile. kumbe ndio maana nikiweka mambo ya mgegedo wanarukia....loh balaa hili but anyways wacha tuwagegede maana ndio raha ya dunia. kuoa tutaomba wazazi watutafutie.
Upo wewe kweli? mzabzab?
 
Nikiwa mmoja wa waathirika tangazo la mke na uchumba nimeweka ila sasa wanakuja watu wanashangazaa yani nikitoa ushuhuda wa wadada wa6 niliokutanana nao baada ya kuelewana pm inashangaza nataka mke mtu kaja na wenzake 5 aisee first meeting wana vikuku...tatoo...na fegi ju nusura nizimie nikajikaza kiume nikalipa bili baada ya hapo nikawaaga nikiwa nimewaachia konyagi na serengeti lite 3 .3 huyo dada hapo kazalishwa na bado ana akili hiyo jamani wadada mmerogwa vibaya....niko zangu naendeleza usingle kuliko vituko sio domo zege kama mnavotuita ila tuna mambo mengi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh....huku hamna mwanamke anaevuta fegi bhana na vikuku juu plus tatoo.
 
Back
Top Bottom