kiduku mpapaso
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 1,981
- 4,857
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sister hakuna mwanamke anaejielewa ukiletwa uzi wa kutafuta mchumba ataenda pm kwa mwanaume huyo wote walio enda kwa huyu GUBU DUME ni wadangaji wenye malengo kama yake.Sema kwa post hii JF wafute tu Jukwaa La Love Connect halina maana tena. Kumbe kuna watu wanaandika huku wanatafuta wapenzi kumbe lengo lao wanataka kutuchora waje watuanike madhaifu yetu huku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimkatae kama nimempenda je?? Nikimpenda simkatai akinitangaza nadanga au maharage ya Mbeya atajua mwenyewe na utapiamlo wake wa ubongoMimi huwa nakosa wakutongoza, maana wazur wengi mtaan wanajifanya wagumu.
Labda shule ndo huwa raha unapata wa darasan kiurani kwan anakuona mara kwa mara.
Sasa kama nyie na kutongozwa kitaa mnatongozwa sana... Mimi naona kuwakomesha wanaume wa humu wakija kuwatongoza nyie wapigen chenga tu, wakataeni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Gudume ametoa utafiti wake but kuna swali la kujiuliza mpaka wanawake wamefika hapo 1-je hakuna wanaume tuliochangia kuwafisha hapo au kinyume chake?kuna watu nasubiri wachangie mada hii nawaona online wanavunga hawajauona uzi huu.....😀😀😀😀😀 angekua uraiani angeshapigwa risasi baki huko huko kwa keyboards.... nasubiri thread za wale kujitetea na tuhuma hizi
Kweli mama. Wanaoenda huko nao hawajielewi. Mtu humjui hakujui unaendaje kumkubalia ombi pm? Ukikuta ni mzee kama babu yako je?Sister hakuna mwanamke anaejielewa ukiletwa uzi wa kutafuta mchumba ataenda pm kwa mwanaume huyo wote walio enda kwa huyu GUBU DUME ni wadangaji wenye malengo kama yake.
Lakini mzigua90 nyie si ndio mnasema wazee ndio wanajua kupeti petiKweli mama. Wanaoenda huko nao hawajielewi. Mtu humjui hakujui unaendaje kumkubalia ombi pm? Ukikuta ni mzee kama babu yako je?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimkatae kama nimempenda je?? Nikimpenda simkatai akinitangaza nadanga au maharage ya Mbeya atajua mwenyewe na utapiamlo wake wa ubongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Alaaah!! Kumbee!Kahongo ndo maana kanaona aibu kufungua uzi,
Juzi nilikaona kanajisema kana age chini ya 21. Ety kenyewe ndo kadogo humu JF
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh....huku hamna mwanamke anaevuta fegi bhana na vikuku juu plus tatoo.Nikiwa mmoja wa waathirika tangazo la mke na uchumba nimeweka ila sasa wanakuja watu wanashangazaa yani nikitoa ushuhuda wa wadada wa6 niliokutanana nao baada ya kuelewana pm inashangaza nataka mke mtu kaja na wenzake 5 aisee first meeting wana vikuku...tatoo...na fegi ju nusura nizimie nikajikaza kiume nikalipa bili baada ya hapo nikawaaga nikiwa nimewaachia konyagi na serengeti lite 3 .3 huyo dada hapo kazalishwa na bado ana akili hiyo jamani wadada mmerogwa vibaya....niko zangu naendeleza usingle kuliko vituko sio domo zege kama mnavotuita ila tuna mambo mengi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Serious haiwezekani kabisaa.Kweli mama. Wanaoenda huko nao hawajielewi. Mtu humjui hakujui unaendaje kumkubalia ombi pm? Ukikuta ni mzee kama babu yako je?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo za masiku? Wapi hiyooo?Upo wewe kweli? mzabzab?