SALOK
JF-Expert Member
- Sep 20, 2011
- 3,364
- 2,001
Hello Mashabiki wa Yanga, popote pale mulipo, kunjeni ngumi, pigeni kifuani kisha hewani huku mkitamka 'Wananchiiiiii...!!!'
Ahsante sana, mmeliheshimisha Taifa.
Yap.. kwa kila mwanayanga leo ni siku kubwa mno, siku ya kufurahi.. Aliyekutenda, na wewe mtende! Yanga kamtenda zaidi CR Belouizdad, safi sana hiyo imeenda!
kwetu sisi Mashabiki kazi ndio kwanza inaanza! Pongezi kwa Rais wa Yanga, Benchi la ufundi, wachezaji pamoja na mashabiki wooote wakiongozwa na shabiki namba moja Mr. Gsm.
Pamoja na furaha iliyoje, Ilipasa Mwarabu apigishwe Mnara 🖐
ikiwa ni zawadi spesho kwa ndugu zetu waleeee.... wakome kudandia dandia magari mabovu!