Nishampenda nipeni njia ya kudumu nae

Nishampenda nipeni njia ya kudumu nae

Ni ile tu ananichombeza chombeza maneno mazuri mazuri na amefanikiwa kuniteka hisia zangu mpk tukaishia kukulana (Sijutii maana na mimi nilikuwa na hamu zangu)
Haya ndio madhara ya kuliwa ndogo
 
Nb: Sijawahi kumlilia shida hata siku moja yaani sijawah kuzungumza maswala ya kuombaomba hela hata tukionana huwa natumia nauli yangu kumfuata.
Yeye ndio hunipa muda wa kuondoka anasema nitaongezea nauli… suala la hela sio tatizo kwangu kwa kuwa nishampenda
Akishakufira uje pia kutuomba ushauri
 
Tumeshakulana zaidi ya mara moja na namuhitaji zaidi..
Sasa niwaambie ukweli huyu bro hajanitamkia kama anahitaji mahusiano na mimi kama vile tulivyozoea namna ya utongozaji wa mwanaume kwa mwanamke
Ukishafirwa tena uje tena kuomba ushauri
 
Back
Top Bottom