- Thread starter
- #121
Sio mikocheni?
Mbagala hiyo [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio mikocheni?
Pole kwa ushauri wangu angalia usije ukajuta badae mapenzi yanauma sasa na wewe umeingia mazimaSiri ya moyo mkuu mimi pia sijui
Duh? Mbagala?Nairobi sio ila sisi tumekutana kwa aziziali
Una umri gani
Sawa nipo tayari kukupa ushauri
Asikukulekule, mwambia nataka niwe na kwangu, nataka niwe huru wa kuchimbwa mgodi tena nitakuachia yote ukae nayo hata ukitaka kwenda nayoyo fcn nenda nayo
Mwa
Muulize mix by Yas unatumia?
Na vip kinoa na balimi? Akisema ndio natumia... Ondoa matumaini Fanya mambo mengine
Duh? Mbagala?
Sawa24.5
Basi usijali tutadumu mrembo wanguMimi Pia sipendii hayo
Pole kwa ushauri wangu angalia usije ukajuta badae mapenzi yanauma sasa na wewe umeingia mazima
Basi usijali tutadumu mrembo wangu
Kumbe hutaki ushauri basi endekea kumwachia tena yoteBado anajitafuta bado muda wa yeye kuoa
Kumbe hutaki ushauri basi endekea kumwachia tena yote
Hapa ameomba ushauri kumbe unataka penzi linoge basi endelea kuishi kwa matumaini kumbuka hapa kumbe kuna watu wrnye akili kukuzidi wewe kwa maelezo yako kumbe una upwiru endelevu ambao umepata mkunajiMkuu utamwambiaje mtu akuoe na wakati hamna mahusiano ya kueleweka na mtu bado anapambana kutengeneza future halafu mimi nilete habari za ndoa
Angalau penzi linoge haya mambo ya ndoa yatajitengeneza yenyewe
Hongera mimi sija bahatikaMimi sijawahi pedwa hivi na mwanamke. alinitogoza ndugu ambaye ni pic kal nikampa haki yake. Ndipo nikaaza kujua ukipedwa sana na mwanamke ni karaha. Usiombe ikupate ni usumbufu hadi kero
Hapa ameomba ushauri kumbe unataka penzi linoge basi endelea kuishi kwa matumaini kumbuka hapa kumbe kuna watu wrnye akili kukuzidi wewe kwa maelezo yako kumbe una upwiru endelevu ambao umepata mkunaji
Kumbe una maswali mazuri ambayo una niuliza mimi ambaye cjui kama una bwawa la mindu ama j" k' puyaDaah hatuelewani mkuu sio kila mwanaume unapokutana nae basi atakuoa hapohapo mimi mwenyewe naendelea kumuangalia kama atafaa kuwa mume maisha mafupi ndoa zetu ni mpk kifo sitaki niolewe halafu niachike
Hujauliza umri wake na kama anafanya kazi kama je ni mwanafunzi atanioa vipi mkuu
Mimi sijawahi pedwa hivi na mwanamke. alinitogoza ndugu ambaye ni pic kal nikampa haki yake. Ndipo nikaaza kujua ukipedwa sana na mwanamke ni karaha. Usiombe ikupate ni usumbufu hadi kero