Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 12,444
- 18,741
sawa uliliwa, ukafurah kuliwaYaani wote tumeenjoy yaani Hakuna alielazimishwa yaani sijabakwa ni hivyo mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa uliliwa, ukafurah kuliwaYaani wote tumeenjoy yaani Hakuna alielazimishwa yaani sijabakwa ni hivyo mkuu
Mario ft bien..
kAma huwez tulia kimya ukimpa muda,ukiona kimya kimzidi jitoe uendelee na safar yako au kama umekolea zaidi basi mnaendelea kukulana tu hvyo hvyo bila ndoaKumuuliza mtu kwanini yupo kimya ni kipengele
Asante kwa kunipemda, ila sipendi kubanwa banwa, na kufuatiliwa kila saa kama gari la patrol
Tuendelee kuwa hivihivi, ila sasa usiniforce kuhusu future, hatma tuyajua huko mbeleni
Duh aisee wewe unafaa kuwa wife material au girlfriend wa ukweli kama si omba omba wa mjini. I hate mademu wanaojifanya wao ni zaidi ya wagogo kwa kuomba. Ifike mahala wanaume wote tuwapige vita wanawake wapiga mizinga wabaki peke yao wakikulana.Habari
Niwe muwazi mimi nishamuelewa huyu Kijana.. mwanzo nilihisi upwiru tu nikamtamani ila Sasa najihisi kumpenda..
Tumeshakulana zaidi ya mara moja na namuhitaji zaidi..
Sasa niwaambie ukweli huyu bro hajanitamkia kama anahitaji mahusiano na mimi kama vile tulivyozoea namna ya utongozaji wa mwanaume kwa mwanamke
Ni ile tu ananichombeza chombeza maneno mazuri mazuri na amefanikiwa kuniteka hisia zangu mpk tukaishia kukulana (Sijutii maana na mimi nilikuwa na hamu zangu)
Kilichonileta hapa nataka ushaurii haswa kwa wanaume ni kwa namna gani huyu mwanaume nitampata yaani ikiwezekana awe wangu najua atakuwa ana mahusiano yake labda seriously but mimi hilo halina shida kikubwa ni kuwa hajaoa na kama mtu hajaoa ni kama yuko single
Jamani mwanaume ambae yuko single Hakuna kila mtu yuko na mtu haijalishi ni mahusiano seriously au yakuzuga sasa mimi nimuache huyu kwasababu zipi wakati hajanitamkia kuwa ana mtu na hajaoa( hii ni 100%) kwasababu nimeshafanya ujasusi wangu hana mke Kijana
Sasa mimi nataka kulipambania hili husiano ikiwezekana liwe husiano kwelikweli uzuri ni kuwa ninampenda so sidhani kama nita mtreat vibaya….
Sijamtamkia kuwa nampenda lakini matendo nazani kashaelewa..
Nishaurini namna ya kufanya ili niendelee kumuweka upande wangu au niendelee na maisha yangu
Nb: Sijawahi kumlilia shida hata siku moja yaani sijawah kuzungumza maswala ya kuombaomba hela hata tukionana huwa natumia nauli yangu kumfuata.
Yeye ndio hunipa muda wa kuondoka anasema nitaongezea nauli… suala la hela sio tatizo kwangu kwa kuwa nishampenda
kAma huwez tulia kimya ukimpa muda,ukiona kimya kimzidi jitoe uendelee na safar yako au kama umekolea zaidi basi mnaendelea kukulana tu hvyo hvyo bila ndoa
Binti nikuambie kitu sasa hivi nipo serious hapo juu nilikua natania, naongea kwa upande wangu mwanamke anaenivutia ni yule mwenye heshima kwangu, pili usipende kutafuta sana huyo boyfriend wake mda mwingine ujicheleweshe kujibu message, pia sio kila akitaka akukule uwe mwepesi kwenda siku ziingine ujifanye upo bussy, ila muhimu ya yote muoneshe heshima ila usijivunjie utu wako nakuambia hiyo mbinu itamfanya zaidi kukupenda naongea kwakua nimeachana na wanawake wengi kisa hichoHabari
Niwe muwazi mimi nishamuelewa huyu Kijana.. mwanzo nilihisi upwiru tu nikamtamani ila Sasa najihisi kumpenda..
Tumeshakulana zaidi ya mara moja na namuhitaji zaidi..
Sasa niwaambie ukweli huyu bro hajanitamkia kama anahitaji mahusiano na mimi kama vile tulivyozoea namna ya utongozaji wa mwanaume kwa mwanamke
Ni ile tu ananichombeza chombeza maneno mazuri mazuri na amefanikiwa kuniteka hisia zangu mpk tukaishia kukulana (Sijutii maana na mimi nilikuwa na hamu zangu)
Kilichonileta hapa nataka ushaurii haswa kwa wanaume ni kwa namna gani huyu mwanaume nitampata yaani ikiwezekana awe wangu najua atakuwa ana mahusiano yake labda seriously but mimi hilo halina shida kikubwa ni kuwa hajaoa na kama mtu hajaoa ni kama yuko single
Jamani mwanaume ambae yuko single Hakuna kila mtu yuko na mtu haijalishi ni mahusiano seriously au yakuzuga sasa mimi nimuache huyu kwasababu zipi wakati hajanitamkia kuwa ana mtu na hajaoa( hii ni 100%) kwasababu nimeshafanya ujasusi wangu hana mke Kijana
Sasa mimi nataka kulipambania hili husiano ikiwezekana liwe husiano kwelikweli uzuri ni kuwa ninampenda so sidhani kama nita mtreat vibaya….
Sijamtamkia kuwa nampenda lakini matendo nazani kashaelewa..
Nishaurini namna ya kufanya ili niendelee kumuweka upande wangu au niendelee na maisha yangu
Nb: Sijawahi kumlilia shida hata siku moja yaani sijawah kuzungumza maswala ya kuombaomba hela hata tukionana huwa natumia nauli yangu kumfuata.
Yeye ndio hunipa muda wa kuondoka anasema nitaongezea nauli… suala la hela sio tatizo kwangu kwa kuwa nishampenda
Binti nikuambie kitu sasa hivi nipo serious hapo juu nilikua natania, naongea kwa upande wangu mwanamke anaenivutia ni yule mwenye heshima kwangu, pili usipende kutafuta sana huyo boyfriend wake mda mwingine ujicheleweshe kujibu message, pia sio kila akitaka akukule uwe mwepesi kwenda siku ziingine ujifanye upo bussy, ila muhimu ya yote muoneshe heshima ila usijivunjie utu wako nakuambia hiyo mbinu itamfanya zaidi kukupenda naongea kwakua nimeachana na wanawake wengi kisa hicho
OK dearSawa captain
Sio mikocheni?Nairobi sio ila sisi tumekutana kwa aziziali
Unasoma chuo?Nairobi sio ila sisi tumekutana kwa aziziali
Duh aisee wewe unafaa kuwa wife material au girlfriend wa ukweli kama si omba omba wa mjini. I hate mademu wanaojifanya wao ni zaidi ya wagogo kwa kuomba. Ifike mahala wanaume wote tuwapige vita wanawake wapiga mizinga wabaki peke yao wakikulana.
Nina wasiwasi upande wake yeye amekupenda?
Unasoma chuo?
Una umri ganiAkili pia sina
Sawa nipo tayari kukupa ushauriSio mwanafunzi
Hili nilawahenga mkuu alizingatie sana, maana baada ya hapa hatutasoma tena uzi mwingine kutokea kwake maana majibu yote yako hapaKwenye mapenzi usiwekeze moyo. Moyo unao mmoja tu, wekeza vitu visivyo na thamani. Wekeza nywele na kucha, hata vikikatwa haviumi na huota tena
Asikukulekule, mwambia nataka niwe na kwangu, nataka niwe huru wa kuchimbwa mgodi tena nitakuachia yote ukae nayo hata ukitaka kwenda nayoyo fcn nenda nayoHabari
Niwe muwazi mimi nishamuelewa huyu Kijana.. mwanzo nilihisi upwiru tu nikamtamani ila Sasa najihisi kumpenda..
Tumeshakulana zaidi ya mara moja na namuhitaji zaidi..
Sasa niwaambie ukweli huyu bro hajanitamkia kama anahitaji mahusiano na mimi kama vile tulivyozoea namna ya utongozaji wa mwanaume kwa mwanamke
Ni ile tu ananichombeza chombeza maneno mazuri mazuri na amefanikiwa kuniteka hisia zangu mpk tukaishia kukulana (Sijutii maana na mimi nilikuwa na hamu zangu)
Kilichonileta hapa nataka ushaurii haswa kwa wanaume ni kwa namna gani huyu mwanaume nitampata yaani ikiwezekana awe wangu najua atakuwa ana mahusiano yake labda seriously but mimi hilo halina shida kikubwa ni kuwa hajaoa na kama mtu hajaoa ni kama yuko single
Jamani mwanaume ambae yuko single Hakuna kila mtu yuko na mtu haijalishi ni mahusiano seriously au yakuzuga sasa mimi nimuache huyu kwasababu zipi wakati hajanitamkia kuwa ana mtu na hajaoa( hii ni 100%) kwasababu nimeshafanya ujasusi wangu hana mke Kijana
Sasa mimi nataka kulipambania hili husiano ikiwezekana liwe husiano kwelikweli uzuri ni kuwa ninampenda so sidhani kama nita mtreat vibaya….
Sijamtamkia kuwa nampenda lakini matendo nazani kashaelewa..
Nishaurini namna ya kufanya ili niendelee kumuweka upande wangu au niendelee na maisha yangu
Nb: Sijawahi kumlilia shida hata siku moja yaani sijawah kuzungumza maswala ya kuombaomba hela hata tukionana huwa natumia nauli yangu kumfuata.
Yeye ndio hunipa muda wa kuondoka anasema nitaongezea nauli… suala la hela sio tatizo kwangu kwa kuwa nishampenda
MwaHabari

Muulize mix by Yas unatumia?Habari