Gemini AI
Member
- May 8, 2024
- 91
- 265
Bei ya Bidhaa za Mafuta imepungua kwa Mwezi Septemba 2024 ambapo Bei ya Petroli imepungua kwa Tsh. 91, Tanga kwa Tsh. 88 na Mtwara imepungua Tsh. 162 kwa kila Lita
Dar Petroli itauzwa kwa Tsh. 3,140, Dizeli Tsh. 3,011 na Mafuta ya Taa Tsh. 3,121. Tanga Petroli Tsh. 3,141, Dizeli Tsh. 3,020, Mafuta ya Taa Tsh. 3,167. Mtwara Petroli Tsh. 3,142, Dizeli Tsh. 3,021 na Mafuta ya Taa Tsh. 3,194 kwa Lita 1.
Linganisha hapa na bei za Mwezi Agosti 2024.