Naam hizo ni vema sana ila unajua hata kuna solar cookers yaani mtu unaweza kupika hata keki au kuchemsha maji au kupika chakula kwa kutumia nishati ya jua moja kwa moja ? Ingawa hizi zipo ila maisha ya mwendo kasi tunayoishi wengi wanapenda kitu rahisi rahisi...12 volts induction cookers
Dunia ndivyo ilivyo watu wenye pesa zao ndio wanaowaweka watoa maamuzi na wanaoamua kwenye madaraka au waamuzi pia wana hisa kwenye mambo mengi yanayofanyika..., hivyo mimi sikatai wanufaike ila wanufaike pale ambapo na wananchi na Taifa litanufaika....
- Nashukuru kwa michango yote chanya iliyotolewa.
- Kwa 'upepo wa sera' ulivyo, lengo kuu ni kuwahakikishia 'big boys' wa gesi asilia soko la uhakika kupitia ruzuku.
Mbaya zaidi hata raia hatuna information yaani tumewaachia watu ndio watuamulie na wafikiri kwa niaba yetu bila kuhoji kwahio hata tukiambiwa kibaya ndio kizuri au hiki ndio kizuri zaidi hatuwezi kubisha zaidi ya kukubali..., kwahio cha maana ni kupata taarifa sahihi ili tukifanya maamuzi yawe ni ya manufaa..., pia hata hao big boys wanaweza kuwekeza kwenye vifaa vya umeme, (kutengeneza, ku-assemble na kuagiza) itakuwa ni raia wenzetu wananufaika na sio hii LPG ambayo tunanufaisha mataifa mengine pia...., na kupanda kwake kwa bei hatuna say yoyote...
- Si rahisi sana kuwagomea 'big boys' kwa kuwa wana ubavu wa kuamua nani ashike nafasi za juu za uongozi.
- Kanuni na sheria zote hufungwa ili kwanza 'big boys' wanufaike, kisha raia wengine.
Kuzalisha Biogas hata sasa hivi wewe haukatazwi unaweza ukaishi off-grid na kupikia kutumia samadi ya mifugo yako, tena hapo utakuwa unaishi sustainably.., lakini kwa nchi yetu nina uhakika umeme ukishuka sana (jambo ambalo linawezekana kabisa) kwanini mtu aangaike na kushughulika na vinyesi wakati akibonyeza tu switch baada ya muda ubwabwa umeiva...Wazalishaji na wasambazaji binafsi wa mitambo midogo, ya kati na mikubwa ya biogas wapewe nafasi. Kwa ndani
- Hivyo basi, nashauri mifumo ya uzalishaji wa biogas kwa mtu mmoja mmoja upewe kipaumbele pia.
Kwenye maelezo ni rahisi kutumia biogas, Ila kiutendaji si rahisi. Ukisikia mtu anatamani kutumia kitu flani na akashindwa, ujue kuna ugumu. Hakuna mtu mwenye akili timamu asiyeoenda mambo mazuri na rahisi.Dunia ndivyo ilivyo watu wenye pesa zao ndio wanaowaweka watoa maamuzi na wanaoamua kwenye madaraka au waamuzi pia wana hisa kwenye mambo mengi yanayofanyika..., hivyo mimi sikatai wanufaike ila wanufaike pale ambapo na wananchi na Taifa litanufaika....
Kuhusu gesi asilia ya Mtwara ni kama nilivyosema..., hii ili iwe practically njia moja ya kufanya huwa ni kuweka mabomba kutoka inapotoka mpaka inafika / tumika (ni kama Russia ana bomba kutoka huko kwao mpaka sehemu nyingi za Europe...
Sasa kutandaza hizo pipe sio mzaha na kwanini tutandaze pipe mpaka mlimani kwa bibi na babu fulani wakati hao wote wana umeme unawafikia ? Utaona kwamba njia rahisi ni kupeleka pipe mpaka sehemu chache ili nishati hio ya gesi asilia iweze kuchemsha maji ya kuendeshea turbines na kutengeneza umeme ili umeme huo upitie kwenye nyanya na kumfikia babu na bibi mlimani ili waweze kupika kitoweo chao....
Mbaya zaidi hata raia hatuna information yaani tumewaachia watu ndio watuamulie na wafikiri kwa niaba yetu bila kuhoji kwahio hata tukiambiwa kibaya ndio kizuri au hiki ndio kizuri zaidi hatuwezi kubisha zaidi ya kukubali..., kwahio cha maana ni kupata taarifa sahihi ili tukifanya maamuzi yawe ni ya manufaa..., pia hata hao big boys wanaweza kuwekeza kwenye vifaa vya umeme, (kutengeneza, ku-assemble na kuagiza) itakuwa ni raia wenzetu wananufaika na sio hii LPG ambayo tunanufaisha mataifa mengine pia...., na kupanda kwake kwa bei hatuna say yoyote...
Kuzalisha Biogas hata sasa hivi wewe haukatazwi unaweza ukaishi off-grid na kupikia kutumia samadi ya mifugo yako, tena hapo utakuwa unaishi sustainably.., lakini kwa nchi yetu nina uhakika umeme ukishuka sana (jambo ambalo linawezekana kabisa) kwanini mtu aangaike na kushughulika na vinyesi wakati akibonyeza tu switch baada ya muda ubwabwa umeiva...
Biogas sio rahisi inahitaji uangalizi kuna kazi inatakiwa ifanyike ndio maana sijasema watu watumie Biogas ila kama wewe ni mkulima na unayo au magereza na wanazalisha kinyesi cha kutosha basi wanaweza kutumia Biogas..., ila rahisi zaidi ni umeme mtu haufanyi lolote ni kuchomeka tu plug na bei ikiwa ndogo kuliko gesi ni nani atatumia gesi ?Kwenye maelezo ni rahisi kutumia biogas, Ila kiutendaji si rahisi. Ukisikia mtu anatamani kutumia kitu flani na akashindwa, ujue kuna ugumu. Hakuna mtu mwenye akili timamu asiyeoenda mambo mazuri na rahisi.
Hilo lipo wazi na ndio njia kuu ya kufanikisha ninachosema...Kupunguza gharama za umeme, na uhakika wa kupatikana pia itakuwa mkakati mzuri.
Tatizo la mpaka leo kuhusu solar bado ni battery, na battery tunaagiza na energy density ya battery bado hairidhishi ndio maana nilishatoa wazo la mtu mwenye solar wala hasihangaike kuhifadhi umeme kwenye battery..., tanesco wafunge smart meter mtu akizalisha anawauzia Tanesco kama credit na Tanesco kama hautumiki kwa wakati huo unakwenda mpaka kwenye bwawa la nyerere unatunzwa kwa kutumia pump na kuhifadhi maji kutoka bwawa la chini mpaka la juu (hio itakuwa ni battery kubwa na ya gharama ndogo)Pia serikali iwezeshe upatikanaji wa betri bora za sola na kwa gharama nafuu.
Kama watu kupata Milo mitatu ni shida wataweza kweli kupata pesa ya kununua hizo induction cooker ?Naunga mkono hoja! Majiko ya induction cooker yapo mpaka ya 12 Volts na yana weza kuwa powered na solar pannel. Pia Watanzania wanatakiwa wawezeshwe kwenye Bio Gas systems zinazozalisha Ges kutokana na mabaki ya Chakula, mimea na vinyesi vya wanyama.... mitungi ya LPG bado ni mzigo kwa familia nyingi na hata hawa mama Ntilie. Ipo haja hawa mama Ntilie wapewe Biogas system waweze zalisha ges ya kupikia kutokana na mabaki ya vyakula na mboga mboga wanazopika katika kazi zao
Tunapenda kudeka sana! Na pia kujisifia kama sisi Masikini.Umasikini wa Watanzania wengi ukiwemo na wako wewe mtoa mada ni wa kujitakia na kujiendekeza. Tanzania kwa sasa Tasaf inajitaidi kuondoa Umasikini na isitoshe sizani kama kuna familia ya Kitanzania inashindwa kula kwa siku kama unavyosema. Kuhusu Kisiwa kisicholipa Umeme! Zanzibar na Pemba Nyumba, Ofisi na Viwanda vina mita za Luku- akuna anaetumia Umeme Bure.Kampuni ya Umeme Zanzibar ZECO ina kusanya pesa na inafanya kazi kama huku. Kuna Nguzo za umeme zina anguka wanazibadilisha, transformers zinaunguwa wanazibadilisha etc. Mimi na Wewe atujui mkataba wa Tanesco na Zeco unasemaje juu ya kuuza,Kusambaza na kuhudumia njia za Umeme kisiwani Zanzibar, isije kuwa kuna Vitu Tanesco avifanyi hivyo Zeco akawa ana punguza malipo to Tanesco kufanya yeye mwenyewe- So tuache kushabikia na kusambaza habari ambazo atujui ukweli wake.Ata Muungano ukivunjika leo (God Forbid๐) Wewe na mimi Ukapuku wetu autoisha. (ata kama Tanzania Bara itasave Trilions of money from Zanzibar -atutoingiziwa ata shillingi kwenye simu zetu)..Ni roho mbaya ulioyonayo na sumu iliyojaa moyoni mwako! Mungu akujalie macho ya kiroho kuona na kujua ukweli. Umasikini wako wa kifikra na wa moyo wako ,Ukuepuke usije kuwa kichaa physical๐Kama watu kupata Milo mitatu ni shida wataweza kweli kupata pesa ya kununua hizo induction cooker ?
Kuna kisiwa huwa hakilipi madeni ya umeme,kwa halii unategemea serikali itakuwa na sera ya kupunguza gharama kwenye umeme ili iwe nishati kuu ya kupikia nyumbani ?
Serikali ya Tanzania Yes inaweza kupunguza bei ya Umeme. Lakini kumbuka kuwa Tanesco kutokana na wizi, ufujaji wa pesa na mikataba yenye walakini na sasa Mikopo ya kuwezesha hii Miradi kufanyika na Garama ya ges na mafuta ya kurun Generators kwenye sehem ambazo azijaunganishwa na grid ya Taifa na madeni makubwa ambayo Taasisi nyingi za Serikali ya Tanzania (wewe unaona Zanzibar tu๐)- Taasisi za Serikali huku tunapoita Tanzania Bara zina daiwa pesa nyingi na Tanesco kuliko Tanzania Visiwani:Iwapo Tanesco ikiaendeshwa kimakini kwa kufuata Ukweli na uhadilifu, ikaweza lipa madeni na kurudisha mikopo iliyonayo hakika ipo siku Umeme utakuwa nafuu sana.Kama watu kupata Milo mitatu ni shida wataweza kweli kupata pesa ya kununua hizo induction cooker ?
Kuna kisiwa huwa hakilipi madeni ya umeme,kwa halii unategemea serikali itakuwa na sera ya kupunguza gharama kwenye umeme ili iwe nishati kuu ya kupikia nyumbani ?
Kuweka kumbukumbu sawa, Zanzibar imeshasema umeme iliokopeshwa na TANESCO, haiwezi kuulipa, haitalipa na imetaka isamehewe. Hakuna mkataba wowote wa kufidiana hilo.Serikali ya Tanzania Yes inaweza kupunguza bei ya Umeme. Lakini kumbuka kuwa Tanesco kutokana na wizi, ufujaji wa pesa na mikataba yenye walakini na sasa Mikopo ya kuwezesha hii Miradi kufanyika na Garama ya ges na mafuta ya kurun Generators kwenye sehem ambazo azijaunganishwa na grid ya Taifa na madeni makubwa ambayo Taasisi nyingi za Serikali ya Tanzania (wewe unaona Zanzibar tu๐)- Taasisi za Serikali huku tunapoita Tanzania Bara zina daiwa pesa nyingi na Tanesco kuliko Tanzania Visiwani:Iwapo Tanesco ikiaendeshwa kimakini kwa kufuata Ukweli na uhadilifu, ikaweza lipa madeni na kurudisha mikopo iliyonayo hakika ipo siku Umeme utakuwa nafuu sana.
Ila iwapo jambo kama hili na yanayofanana na hili yataendelea , Umeme kuja kuwa wa garama ndogo tusahau๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ
TANESCO yaingia mkataba wa kukodi software kutoka India kwa USD 30M
Watanzania naona tulisahau kabisa ajenda ya ufisadi wakati wa Magufuli, mpaka sasa kuna ufisadi umefanyika fasta fasta bila ya watu hata kushtuka. Mkataba uliosainiwa baina ya Serikali ya Tanzania (kupitia TANESCO) na kampuni ya Tech Mahindra ya India wenye thamani ya dola milioni 30 ni wa...www.jamiiforums.com
Kama wameanzisha mfuko wa Nishati safi ya kupikia na wanapanga kutoa Ruzuku ili watu wanunue vifaa vya gesi (sasa hapo sijui kama wataendelea kuwapa ruzuku ya kununua gesi) na hata wakiwapa ruzuku hizo pesa zinakwenda nje ya nchi kwenye kuagiza hio Gesi...,Kama watu kupata Milo mitatu ni shida wataweza kweli kupata pesa ya kununua hizo induction cooker ?
Umeme unajua ukishazalisha ni kama maji umefungulia bomba utumie usitumie unapotea..., sasa kuliko kuendelea kutumia gesi ambayo sio gharama nafuu kwa Tanzania kwanini tusiwabane hao walipe wakitumia (after all kuna luku) Pili umeme ukiwa hata Tshs 50 au 25/= kwa unit nani unadhani hataacha kupikia ? hapo juu post number 30 nimeweka mchanganuo usio rasmi ambao gesi ukinunua mtungi wa kilo 15 ni kama units 290 sasa hapo kama kila unit ni tshs 50 mtungi huu utakuwa umenunua kwa chini ya elfu 15...Kuna kisiwa huwa hakilipi madeni ya umeme,kwa halii unategemea serikali itakuwa na sera ya kupunguza gharama kwenye umeme ili iwe nishati kuu ya kupikia nyumbani ?
Kwanza hili la kuunganisha watu ingebidi hata iwe bure ukizingatia Nguzo, Nyaya na Mita sio mali yako bali ni mali ya Tanesco....Kuliko pesa za Tasaf kutumiwa kuwagawia bure kaya maskini zilipaswa kutumika kuwaunganishia umeme (gharama za kuunganishiwa umeme wa Tanesco vijijini ni shilingi elfu 27 tu) na kusaidia kununua majiko ya umeme ya induction (bei ya rejareja ni wastani wa shilingi 135,000 kwa single plate). Hapo watakuwa wameokoa mambo mengi.
Ni kwamba tunachezewa sana..., Kama tulikuwa tunanunua umeme kutoka kwa Private sectors kina Dowans..., Iwapo tulikuwa tunatumia mafuta / diesel generators na sasa tunaweza tukatumia Hydro Electric Power Generation ambapo itapunguza operation costs..., kwanini bei isishuke ?Serikali ya Tanzania Yes inaweza kupunguza bei ya Umeme. Lakini kumbuka kuwa Tanesco kutokana na wizi, ufujaji wa pesa na mikataba yenye walakini na sasa Mikopo ya kuwezesha hii Miradi kufanyika na Garama ya ges na mafuta ya kurun Generators kwenye sehem ambazo azijaunganishwa na grid ya Taifa na madeni makubwa ambayo Taasisi nyingi za Serikali ya Tanzania (wewe unaona Zanzibar tu๐)- Taasisi za Serikali huku tunapoita Tanzania Bara zina daiwa pesa nyingi na Tanesco kuliko Tanzania Visiwani:Iwapo Tanesco ikiaendeshwa kimakini kwa kufuata Ukweli na uhadilifu, ikaweza lipa madeni na kurudisha mikopo iliyonayo hakika ipo siku Umeme utakuwa nafuu sana.
Ila iwapo jambo kama hili na yanayofanana na hili yataendelea , Umeme kuja kuwa wa garama ndogo tusahau๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ
TANESCO yaingia mkataba wa kukodi software kutoka India kwa USD 30M
Watanzania naona tulisahau kabisa ajenda ya ufisadi wakati wa Magufuli, mpaka sasa kuna ufisadi umefanyika fasta fasta bila ya watu hata kushtuka. Mkataba uliosainiwa baina ya Serikali ya Tanzania (kupitia TANESCO) na kampuni ya Tech Mahindra ya India wenye thamani ya dola milioni 30 ni wa...www.jamiiforums.com
Bei itashuka pale Tanesco atakapomaliza lipa Madeni yake yote.Ni kwamba tunachezewa sana..., Kama tulikuwa tunanunua umeme kutoka kwa Private sectors kina Dowans..., Iwapo tulikuwa tunatumia mafuta / diesel generators na sasa tunaweza tukatumia Hydro Electric Power Generation ambapo itapunguza operation costs..., kwanini bei isishuke ?