Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Nimesikia hapa Makamba akiwasilisha miradi inayopangwa kufanywa katika bajeti ijayo na pesa lukuki iliyotengwa, kwa ajili ya miradi, (yaani ni miradi bandika bandua).
Ni Vema na Haki..., ila swali, si bora tungemaliza kwanza mradi mmoja kuliko kushika shika hapa na pale..., Wahenga walisema mshika mbili moja humponyoka (ingawa mara nyingi zote zinaweza kuponyoka), Kwanini tusimalize kule kwenye Bwawa la Nyerere li tupate hizo Megawatts za kutosha ? Kwani hio Crane ni bei mbaya kiasi hicho hadi tusiitengee pesa ? (Au shida sio crane tena)
Ni ushauri tu from a layman.....