Sahihi kabisa, mradi mmoja uishe uanze mwingine. Miradi inabidi iwe ni self financing na multplier effect creator. Kujenga Roma siku moja haiwezekani hata km watataka tule nyasi.Nimesikia hapa Makamba akiwasilisha miradi inayopangwa kufanywa katika bajeti ijayo na pesa lukuki iliyotengwa, kwa ajili ya miradi, (yaani ni miradi bandika bandua).
Ni Vema na Haki..., ila swali, si bora tungemaliza kwanza mradi mmoja kuliko kushika shika hapa na pale..., Wahenga walisema mshika mbili moja humponyoka (ingawa mara nyingi zote zinaweza kuponyoka), Kwanini tusimalize kule kwenye Bwawa la Nyerere li tupate hizo Megawatts za kutosha ? Kwani hio Crane ni bei mbaya kiasi hicho hadi tusiitengee pesa ? (Au shida sio crane tena)
Ni ushauri tu from a layman.....
Huenda miradi in itself nayo ni Kamradi yaani mradi ndani ya mradi ya kunufaisha wachache...Sahihi kabisa, mradi mmoja uishe uanze mwingine. Miradi inabidi iwe ni self financing na multplier effect creator. Kujenga Roma siku moja haiwezekani hata km watataka tule nyasi.
Effects za debt overhang ni kwamba hata leo kima cha chini kikiwa ni 5m lakini km bei haipo stable ni kujidanganya tu na hapa ndipo tuliopo na kuendelea kukaa sana. Kazi tunayo tena kubwa sana
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app