...Kwa hiyo vilevile unataka kuniambia kwamba pamoja na mkulu mkubwa kabisa kutuchezea akili zetu bado it is possible for individuals ku-struggle ku-make change na kuwa succesful? To me I think it is a WASTE OF TIME AND RESOURCES...........
Naona wewe ni mwanasiasa, na siasa unazozifuatilia ni zile za vurugu.Tanzania tambarae bwana, Wazungu/Wajapani/Wahindi/Wachina wengi sana wanapomaliza mikataba yao wala hawataki kurudi kwao.Na wanainunua nchi hii utafikiri wenyewe wako likizo.
Conclusion:
Kila ninapojaribu kuperuzi news za Tanzania ni vioja juu ya vioja, scandal juu ya scandal. Sasa swali ni moja tuu, jee ni kwanini walio ughaibuni warudi kuishi Tanzania? Nadhani huu ni muda wa kuchukua kinyago aka mkoba aka gamba la nchi uliyokuwepo. Kwani haito kuuma sana sababu hiyo nchi huna root nayo. Kurudi home unaweza jiingiza kwenye maamuzi mabaya bure, mfano kuingi msituni ukawa muasi.
Wewe Mwanamalundi, mbona nakufananisha na Kayton Ngombare, tuliyekuwa classmates, Tabora Boys' High School mwaka 1952? Au wewe ni babae? Mbona ma-sunglasses bwana?
Na kama kweli Kayton unataka Mtanganyika arudi nyumbani mbona nimearifiwa nyumba zenu zina harufu mbaya kila siku? Sisi huku tunadhani ni lazima majumba yenu yavunjwe na kujengwa upya hasa ifikapo 2010.
Lole,Naona wewe ni mwanasiasa, na siasa unazozifuatilia ni zile za vurugu.Tanzania tambarae bwana, Wazungu/Wajapani/Wahindi/Wachina wengi sana wanapomaliza mikataba yao wala hawataki kurudi kwao.Na wanainunua nchi hii utafikiri wenyewe wako likizo.
Tatizo ukitaka kufanya biashara ya siasa.
Hiyo ina wenyewe.
This is a land of oppurtunities that even a layman can capture.
Hizo siasa unazosisoma wengi tuna zisoma ukiwa na kikombe cha kahawa. Lakini ukiamua kuingia siasa uamuzi ni wako, this is a free country.
Nakubaliana na wewe mkuu isipokuwa kujilinganisha na wageni katika nchi yetu ni jambo la muhimu sana .Suala hili linacentre kwenye self confidence na kuwa strong headed.Lole,
Ila tu usijilinganishe sana na hao wageni kwa Tanzania, wao wana haki zaidi ya Mtanzania mzawa.
Ukienda TRA wakati watakunyanyasa mzawa, hao wageni wanapeta tu. Kwa Tanzania ni rahisi mgeni kufanikiwa kuliko mwenyeji hata kama mna uwezo sawa kwenye kila kitu.
Ila tu hiyo sio sababu ya kukata tamaa na kukimbia nyumbani moja kwa moja; sisi wenyewe tuwe sehemu ya mabadiliko dhidi ya hayo mambo tunayoyapinga.
Nahisi we mdanganyika utarudi automatically