Nishauri Kwa nini Nirudi Kuishi Tanzania?

Nishauri Kwa nini Nirudi Kuishi Tanzania?

Wewe Mwanamalundi, mbona nakufananisha na Kayton Ngombare, tuliyekuwa classmates, Tabora Boys' High School mwaka 1952? Au wewe ni babae? Mbona ma-sunglasses bwana?

Na kama kweli Kayton unataka Mtanganyika arudi nyumbani mbona nimearifiwa nyumba zenu zina harufu mbaya kila siku? Sisi huku tunadhani ni lazima majumba yenu yavunjwe na kujengwa upya hasa ifikapo 2010.
 
Last edited:
...Kwa hiyo vilevile unataka kuniambia kwamba pamoja na mkulu mkubwa kabisa kutuchezea akili zetu bado it is possible for individuals ku-struggle ku-make change na kuwa succesful? To me I think it is a WASTE OF TIME AND RESOURCES...........

Mkuu, changes can be made from outside the Government. It is going to be very slow, that is for sure. Kwahiyo, if you bring your brain back home, then you will be contributing in one way or the other. It is called reverse brain drain.

Nchi yetu bado ina amani. Watu wana uhuru wa kufanya wanachotaka (within certain limits, of course). Ingekuwa ni Burma au Zimbabwe, then by all means stay away. Lakini si hivyo mkuu. Mbona wengi wana rudi na mambo poa tuu. Ila tuu hakikisha umeweka mambo "level" kipesa, madegree, professional experience, n.k.

Ukitaka kiwanja, pesa yako. Ukitaka kwenda Dubai au China, passport utapewa. Mwanangu, kuna nchi nyingina paspoti hupewi. Bongo wanaweza kukusumbua mpaka uwahonge, lakini toka nirudi sijaona hiyo kuwa issue yakunirudisha Marekani. No fu..kng way!

Ila tuu kumbuka ujamaa ulikufaga zamani. It is now survival of the fittest!
 
wewe bwana rudi uje tusaidiane katika mapambano ya ukombozi. Tena tunakuhitaji sana wewe kwa vile umepanuka zaidi katika fikra kutokana na kukaa kwako nje kwa miaka kadhaa. Mang'amuzi yako yaweza kutufaa sana.
Lakini jingine ni kwamba unapokaa nchi za watu hata kama unakaa kiuhalali (kisheria) unaonekana daraja la pili vile. Uko hapo? Sijui mwenzetu uko nchi gani hiyo!?
 
Conclusion:
Kila ninapojaribu kuperuzi news za Tanzania ni vioja juu ya vioja, scandal juu ya scandal. Sasa swali ni moja tuu, jee ni kwanini walio ughaibuni warudi kuishi Tanzania? Nadhani huu ni muda wa kuchukua kinyago aka mkoba aka gamba la nchi uliyokuwepo. Kwani haito kuuma sana sababu hiyo nchi huna root nayo. Kurudi home unaweza jiingiza kwenye maamuzi mabaya bure, mfano kuingi msituni ukawa muasi.
Naona wewe ni mwanasiasa, na siasa unazozifuatilia ni zile za vurugu.Tanzania tambarae bwana, Wazungu/Wajapani/Wahindi/Wachina wengi sana wanapomaliza mikataba yao wala hawataki kurudi kwao.Na wanainunua nchi hii utafikiri wenyewe wako likizo.
Tatizo ukitaka kufanya biashara ya siasa.
Hiyo ina wenyewe.
This is a land of oppurtunities that even a layman can capture.
Hizo siasa unazosisoma wengi tuna zisoma ukiwa na kikombe cha kahawa. Lakini ukiamua kuingia siasa uamuzi ni wako, this is a free country.
 
Wewe Mwanamalundi, mbona nakufananisha na Kayton Ngombare, tuliyekuwa classmates, Tabora Boys' High School mwaka 1952? Au wewe ni babae? Mbona ma-sunglasses bwana?

Na kama kweli Kayton unataka Mtanganyika arudi nyumbani mbona nimearifiwa nyumba zenu zina harufu mbaya kila siku? Sisi huku tunadhani ni lazima majumba yenu yavunjwe na kujengwa upya hasa ifikapo 2010.

Hiyo hapo juu kali..... ulikuwa high school mwaka 1952?

Inabidi Mwanamalundi asikilize ushauri wako la sivyo laana itakayofuata hapo si kidogo.
 
Nchi haijengwi kwa kuwepo nchini pekee........wapo watu kibao wanafanya mambo ya maendeleo Tanzania angali wakiwa nje ya nchi...........hata huko mlipo mwaweza kuijenga nchi..........kama unayo opportunity/ies nzuri za ku-make money popote ulimwenguni use that opportunity.........ila u/msisahau mlikotoka i.e Tanzania.............
 
Naona wewe ni mwanasiasa, na siasa unazozifuatilia ni zile za vurugu.Tanzania tambarae bwana, Wazungu/Wajapani/Wahindi/Wachina wengi sana wanapomaliza mikataba yao wala hawataki kurudi kwao.Na wanainunua nchi hii utafikiri wenyewe wako likizo.
Tatizo ukitaka kufanya biashara ya siasa.
Hiyo ina wenyewe.
This is a land of oppurtunities that even a layman can capture.
Hizo siasa unazosisoma wengi tuna zisoma ukiwa na kikombe cha kahawa. Lakini ukiamua kuingia siasa uamuzi ni wako, this is a free country.
Lole,

Ila tu usijilinganishe sana na hao wageni kwa Tanzania, wao wana haki zaidi ya Mtanzania mzawa.

Ukienda TRA wakati watakunyanyasa mzawa, hao wageni wanapeta tu. Kwa Tanzania ni rahisi mgeni kufanikiwa kuliko mwenyeji hata kama mna uwezo sawa kwenye kila kitu.

Ila tu hiyo sio sababu ya kukata tamaa na kukimbia nyumbani moja kwa moja; sisi wenyewe tuwe sehemu ya mabadiliko dhidi ya hayo mambo tunayoyapinga.
 
Nakubaliana na wewe mkuu isipokuwa kujilinganisha na wageni katika nchi yetu ni jambo la muhimu sana .Suala hili linacentre kwenye self confidence na kuwa strong headed.
Ni kweli katika nchi yetu maafisa wengi wa Serikalini/Mashirika ya umma wanawathamini zaidi wageni.Ukifuatilia sana utaona sababu za kimsingi ni aidha ushamba au ufisadi.
Kwa experience yangu mtu ukiwa strong headed na some times overbearing ili kufanikisha kile unachokipata,kuna fursa nyingi sana za vipato au biashara nchini.
 
Itategemea na mtazamo wako. Kama ni miongoni mwa wale wanaotaka wafanyiwe kila kitu na kurudi kula jasho la wengine sawa subiri mpaka pale nchi itakapotengamaa na kutokomeza selikari ya kifisadi. Lakini kama ni miongoni mwa wale ambao wanaamini kuwa mchango wao unahitajika katika kuleta mabadiliko ya kimaendeleo kwa ajili ya watanzania wa sasa na wabaadaye unaweza kurudi bila kujari hali iliyoposasa na kutoa mchango wako wa hali na mali. Kumbuka huko ugenini uliko, kuna watu sakrifaizi maisha yao ili jamii zao zikombolewe. rejea historia, French revolution, Germany reunification after winning the war against france. British revolution under Cromwell, US war of independence just to mention a few. Hivyo basi jiulize upo katika kundi la watu gani (wanaopenda vya mteremko au wale wa vya kilimani?)

Kazi kwako
 
Back
Top Bottom