Mtu akija hapa kuomba asaidiwe jina la mtoto utamuuliza mbn wakat WA kudinyana hukuja kuuliza style gani utumie???!!!Sasa wakati.unatafuta visa mbona hukutushirikisha.?😔
Wewe kenge unaijua Visa ya USA vizuri? Umeamua kuja kuropoka tu hapa.visa zinapatikana kwa njia nyingi mama sio ile unayoijua wewe Tu. To hide my identity I can't share the details hapa
Kuna namna nyingi za kupata visa, watu wana book mpaka hoteli lakini wakishapata visa wanataka wa-sve vijipesa vyao. Kama huyo kijana anataka siku mbili tatu New York pengine ajitowe tongotongo za Tanzania tu aendelee na safari yake.Wakati unaomba visa hukuulizwa utakapofikia? Barua ya mwaliko ulikuwa nayo? Saa nyingine acha kuota ukiwa macho.
Thanks bi mdada will goggle. Ila hizo za kulala mosque mfano pale airport wakini single out na kuniuliza waenda kaa wapi nkiwaambia Mskitini si ntarudishwa hapo hapo 🤣🤣🤣 joking though can happen no.Tafuta kwenye mtandao sehemu zinaitwa "sleep station", ipo moja maarufu inatwa "Central park sleep station?. Hiyo ni cheap and best.
Pia nakushauri taufuta " Youth Hostels".
Uislam ni mwema sana, ukiwa Muislam unakwenda ofisi za Markaz Tabligh ya Tanzania wanakuunganisha na Markaz Tabligh ya New York, umefunga kazi. Salama, amani na official. Kwingine zinaitwa 'Jamaat Tabligh".
Wewe bibi tunafahamu hayo unayoyasema ila huyu mtu analeta ligi badala ya kufafanua.Kuna namna nyingi za kupata visa, watu wana book mpaka hoteli lakini wakishapata visa wanataka wa-sve vijipesa vyao. Kama huyo kijana anataka siku mbili tatu New York pengine ajitowe tongotongo za Tanzania tu aendelee na safari yake.
Vijana wengi siku hizi wanakimbilia Canada, hapo New York inakuwa ni stopover tu.
Kama kuna njia yoyote unaielewa mfahamishe, kama hauna unachokielewa, kaa kimya uwasome wengine.
Tuwe positive, tusiwe wachawi saa zote negativity tu.
Dah Safi Sana aisee. You have said it all dada akee. Ila huyu kichwa panzi I can bet my life wala hata elewa ulichoandikaKuna namna nyingi za kupata visa, watu wana book mpaka hoteli lakini wakishapata visa wanataka wa-sve vijipesa vyao. Kama huyo kijana anataka siku mbili tatu New York pengine ajitowe tongotongo za Tanzania tu aendelee na safari yake.
Vijana wengi siku hizi wanakimbilia Canada, hapo New York inakuwa ni stopover tu.
Kama kuna njia yoyote unaielewa mfahamishe, kama hauna unachokielewa, kaa kimya uwasome wengine.
Tuwe positive, tusiwe wachawi saa zote negativity tu.
Anaelewa, ni utata wa utoto tu, akikuwa ataacha.Dah Safi Sana aisee. You have said it all dada akee. Ila huyu kichwa panzi I can bet my life wala hata elewa ulichoandika
Sawa sawa ntafanyia kazi ushauri wako huu.Pia kijana nakushauri tazama namna ya kuwa unakaa "upstate New York " na ku commute daily kwenda New York. "Upstate" ni vimiji vinavyoiźunguka New York lakini kwa usafiri wa kule ni kama upo New York tu.
Zamani sana nakumbuka watu wakienda USA, Canada au Europe, kulikuwa kuna mpango unaitwa "world packers", huu unawasiliana kabla na unapokwenda, "unabeba boksi" kwa siku unazokuwa hapo, unapata kula na kulala.
Sifahamu kama bado upo.
Utafute kwa mtandao.
Njia zipo nyingi sana lakini muda naona hautakotosha kuzifanyia kazi, ungeanza kuuliza mapema tugekupa njia ambazo nnauhakika mojawapo ungeweza kujipatia hata kuishi bure kabisa ukajipatia pocket lmoney kila siku.
Hivi unapafahamu pale Dar YMCA? kama ni wa kike YWCA?
Kama unapafahamu ukifika hapo umeshatatuwa tatizo lako. Nenda kawaone.
Dini imekufanya umekuwa mjinga sana pumbavu kabisa.Tafuta kwenye mtandao sehemu zinaitwa "sleep station", ipo moja maarufu inatwa "Central park sleep station?. Hiyo ni cheap and best.
Pia nakushauri taufuta " Youth Hostels".
Uislam ni mwema sana, ukiwa Muislam unakwenda ofisi za Markaz Tabligh ya Tanzania wanakuunganisha na Markaz Tabligh ya New York, umefunga kazi. Salama, amani na official. Kwingine zinaitwa 'Jamaat Tabligh".
Tueleze ni kwa nini watu hawakimbilii nchi za kiislamu na wanakimbilia nchi za makafir?Kuna namna nyingi za kupata visa, watu wana book mpaka hoteli lakini wakishapata visa wanataka wa-sve vijipesa vyao. Kama huyo kijana anataka siku mbili tatu New York pengine ajitowe tongotongo za Tanzania tu aendelee na safari yake.
Vijana wengi siku hizi wanakimbilia Canada, hapo New York inakuwa ni stopover tu.
Kama kuna njia yoyote unaielewa mfahamishe, kama hauna unachokielewa, kaa kimya uwasome wengine.
Tuwe positive, tusiwe wachawi saa zote negativity tu.
August 2023 naenda New York City kushangaa Tu kwa siku kama 3 then nirudi zangu. Niko man alone, nishaurini accomodation cheapest hata kama ni shared accomodation poa tu ilimradi usalama.
Mimi naishi popote sitaki tu semehu zenye violence maana usalama Kwanza.
Asanteni wakulungwa.
Watu km nyie ambao mnajifanya mnajua halafu hamjui mnaboa kwa hii dunia ***** walai. I wish nakuona live niku....aaargh
Let me mind my own business lest I .....
Naona gujafanya homework yako vizuri.Tueleze ni kwa nini watu hawakimbilii nchi za kiislamu na wanakimbilia nchi za makafir?