Nishaurini flat Tv ya kampuni gani ni nzuri kununua kwa sasa

Nishaurini flat Tv ya kampuni gani ni nzuri kununua kwa sasa

jjs2017

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2019
Posts
2,025
Reaction score
4,276
Habari ndugu zangu..

Nahitaji kununua Flat Tv -32 inch .. ila naombeni ushauri wenu ni Tv ya kampuni gani ni nzuri kwa sasa kununua na ni vitu gani vya kuzingatia sana wakati na nunua . kwa sababu makampuni yamekua mengi ya kitengeneza Tv kila kukicha..

Bajeti yangu ni 450,000

Natanguliza shukrani za dhati..
 
Chief npo kwa bro hapa ..ana tv inch 65 ipo vzuri sana aiseeee
Hapa nimezoom ila kitu ipo clear sana ..sasa ukiweka supersport utakimbia
Shida utaki kujaribu LG au Hisense, uone resolution zao.

Mimi watu watatu, walishakuja getho wote tunatumia DSTv ila wanasema mbona kwako inaonekana vizuri zaidiii?
 

Attachments

  • 20230306_220159.jpg
    20230306_220159.jpg
    886.1 KB · Views: 165
Back
Top Bottom