goodlif1600
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 805
- 877
Asante kwa elimu hii mkuuZipo madukan boss za south africa huwa wana aandik model number zao na mwish kabisa wanaandika ZA maan ake ni Zuid Afrika kwa ki holanz ni afrika kusini kifupisho chake hizo model ni kuwa mjanj na kusom kweny sehem model number ukiipata toa mpunga