Nishaurini flat Tv ya kampuni gani ni nzuri kununua kwa sasa

Nishaurini flat Tv ya kampuni gani ni nzuri kununua kwa sasa

Kama unaweza kupata mtumba TV chukua ila mpya chukua yoyote ila isiwe mchina tu, brand nzuri LG - Korea, Sony - Mjapan, Samsung - Korea, Na zingine brand za Europe au American, hisense kwa mbaliiiii namkubali..... mchina zinakufa sana vioo mikanda yake mara picha inapinduka juu chini... m ni Expert kwenye field za consumer electronics, nina experience ya ufundi na matumizi....
Vipi kuhusu tv za mo electro ?
 
Mchina naye hajalala [emoji38][emoji38]
Screenshot_20230323-225355~2.jpg
 
Kama huna budget ya kununua Hisense tulia kwanza ujipange…by far the best TVs there is.
 
Mm nilianzaga na tv ya MO ELECTRO INCH 32 kwa budget ndogo kabisa tena nakumbuka bro alieniuzia alinipa na wall tv stend na waya wa HDMI ...ilikua inaonesha vzuri tu..
mm nashauri mtu kama una kipato kidogo anza na tv ndogo yenye budget ndogo ...mdogo mdogo ndio mwendo
 
Mo electro iko je upande wa HD? Me nataka kuvuta hisense tu wadau wanaisifia sana..
 
Nunua MICROMAX, nilinunua miaka sita iliyopita, haijawahi kuwa na kwere! Na ni Smart TV.

Tena nilinunua kwa jamaa wa humu humu yupo Zenji.

Tafuta thread ya TV ina mambo mengi utampata
 
South Africa naipataje mkuu
Zipo madukan boss za south africa huwa wana aandik model number zao na mwish kabisa wanaandika ZA maan ake ni Zuid Afrika kwa ki holanz ni afrika kusini kifupisho chake hizo model ni kuwa mjanj na kusom kweny sehem model number ukiipata toa mpunga
 
Back
Top Bottom