hamna tv humoChukua TCL
Tcl ni hatari ...br wangu anayo kubwa since 2018 quality ile ile inaonesha vzur sanahamna tv humo
Shida utaki kujaribu LG au Hisense, uone resolution zao.Tcl ni hatari ...br wangu anayo kubwa since 2018 quality ile ile inaonesha vzur sana
I prefer tcl over hisense
Mimi nahisi TCL hujawah iona resolution yake...ipo vzuri zaidi ya hisenseShida utaki kujaribu LG au Hisense, uone resolution zao.
Mimi watu watatu, walishakuja getho wote tunatumia DSTv ila wanasema mbona kwako inaonekana vizuri zaidiii?
Shida utaki kujaribu LG au Hisense, uone resolution zao.
Mimi watu watatu, walishakuja getho wote tunatumia DSTv ila wanasema mbona kwako inaonekana vizuri zaidiii?
LG,Sony na Samsung ziweke pembeni kwanzaShida utaki kujaribu LG au Hisense, uone resolution zao.
Mimi watu watatu, walishakuja getho wote tunatumia DSTv ila wanasema mbona kwako inaonekana vizuri zaidiii?
Kwann masta ziwe pembeni, hahahaLG,Sony na Samsung ziweke pembeni kwanza
Ziko fresh sana mkuuhamna tv humo
Subr nitaangalia nione ubora wake wa tcl, watu wawili mmezipa kudos..Ziko fresh sana mkuu
Hizo ni special caseKwann masta ziwe pembeni, hahaha