Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaonyesha ligi za mpira balani ulaya EPL, LA LIGA, UEFA CHAMPIONS, EUROPA, FA, LIGUE 1, CAF CHAMPIONS, N.K kwa tsh 45,000 kila Mwezi mkuuuHivi hiki kipoje mkuu maana sikuhizi naona watu wengi wananunua
Hiki ndo chenyewe ngoja nifanye mpangoInaonyesha ligi za mpira balani ulaya EPL, LA LIGA, UEFA CHAMPIONS, EUROPA, FA, LIGUE 1, CAF CHAMPIONS, N.K kwa tsh 45,000 kila Mwezi mkuuu
Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
Hajakupa complete info.Hiki ndo chenyewe ngoja nifanye mpango
Sure, hapo ndipo jamaa alipaachaHajakupa complete info.
Lugha ni Kifaransa kaa ukijua hilo.
Matangazo na commentary ni kwa lugha hiyo. Kama si neno bas nunua.
Hakuna sehem ya kuchange language??Hajakupa complete info.
Lugha ni Kifaransa kaa ukijua hilo.
Matangazo na commentary ni kwa lugha hiyo. Kama si neno bas nunua.
Hakuna babu. Ingekua hivyo Dstv asingekua na soko. Hao ni wafaransa.Hakuna sehem ya kuchange language??
Mkuu nakushauri nunuwa dstv,Napenda mipira yote ya bongo na ulaya, king'amuzi gani kinafaa hapo kwa huu uchumi wa kati? Naombeni ushauri
DSTV haya yote yapo + EPL.Kwa king'amuzi cha Azam utaidi yafuatayo:
1. Ligi kuu bongo
2. Azam federation cup
3. Caf champions lg na shirikisho - group stage
4. Carabao cup England ( all matches)
5. FA cup England (all matches)
6. Ligue 1 - France
7. Bundesliga - Germany
8. Ligi kuu uholanzi ( Eredivisie)
Dstv hawaonyeshi ligi kuu ya Bongo.DSTV haya yote yapo + EPL.
......then Azam kila jmosi huwa wanaonyesha game moja ya England
Takbirrrr!!!Kama unapenda maudhui ya mashariki ya kati nunua Azam
Sio solution..Ili uwe huru uache kigombania remote na madogo au wife, inabidi uwe na zote mbili DStv & Azam