Nishaurini kuelekea Julai 13 siku ya harusi yangu

Kama una mama , muulize atakusaidia.
Unawauliza ushauri watu ambao hata gauni na shela hawajawahi kulivaa.
 
Kule kwingine ulisema ndoa tamu, unajifungia ndani unapata dudu kutoka kwa mwanaume mtamu, huku unawaza harusi......ehuuu wanajf tunavurugwa sana jamani ndo maana kuna muda tunakuaga kama tumechanganyikiwa na kuna muda tunaongea peke etu.

Mbaga Jr ushaandaa suti ya kwendea harusini au utaenda na kanzu??
 
Na wewe uje basi ucheze na Mguu wa Mtoto
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Niliahidi kumchangia hata cartons za maji kumbe anazingua tu humu?
Kweli haya ni matumizi mabaya ya akili na muda
 
🀣🀣 ww ndo huelewi mahi wangu!
 
Ukweli ni kwamba kinachokuvutia ni sherehe tu + heka heka za siku hiyo za kuwaaminisha mashosti kuwa ndo naolewa hivyo,
mwisho: tunamwombea mwanetu ili akili zake za kawaida zirejeee kwa kusogeza mbele hii sherehe au kuishia mitini kabisaπŸ˜‚
Jamani 😁😁
 
Yaani wewe unafikiria uvae nin au utasimama vipi mbele ya watu. Hivi ni vitu vidogo saana. Kwanza mweke mchumba wako karibu sana maana anaweza asijitokezd siku ya sendoff au hata ya harusi. Hiyo kutoka vipi sio ya maana kwa kuwa wenzio wameolewa na gauni za kawaida bila sendoff, bila gauni za harusi na maisha yanaendelea. Nilikuwa nadhanj ni dume maana hii hofu inaweza kufanya kupungua nguvu za ........ . Hii ni hofu zaidi kwako. Sio harusi wala sendoff.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…