Nishaurini kuelekea Julai 13 siku ya harusi yangu

Kila uchwao nimekuwa mtu wa kuwaza Kuhusu siku ya harusi yangu. ( Walio olewa watakuwa wananielewa)
yani Kuna Hali Fulani hivi unakuwa nayo, furaha iliyochanganyikana na hofu.

Mfano Mimi nawaza ntawaangaliaje watu siku ya send-off, na harusi na siku ya chai
Nawaza nivae nguo gani yani nitokelezee vipi siku hizo.

yani Hadi nimeanza kupungua kwa kuwaza hayo yote na hii ni kutokana na kukosa hamu ya kula.

Waungwana., naomba mnishauri KUELEKEA siku hiyo mambo ya kuzingatia na mambo ya kuepukana nayo katika nyanja mbalimbali na ntayafanyika kazi pale inapobidi.

Asante.
Kama una mama , muulize atakusaidia.
Unawauliza ushauri watu ambao hata gauni na shela hawajawahi kulivaa.
 
Kule kwingine ulisema ndoa tamu, unajifungia ndani unapata dudu kutoka kwa mwanaume mtamu, huku unawaza harusi......ehuuu wanajf tunavurugwa sana jamani ndo maana kuna muda tunakuaga kama tumechanganyikiwa na kuna muda tunaongea peke etu.

Mbaga Jr ushaandaa suti ya kwendea harusini au utaenda na kanzu??
 
Na wewe uje basi ucheze na Mguu wa Mtoto
 
Kule kwingine ulisema ndoa tamu, unajifungia ndani unapata dudu kutoka kwa mwanaume mtamu, huku unawaza harusi......ehuuu wanajf tunavurugwa sana jamani ndo maana kuna muda tunakuaga kama tumechanganyikiwa na kuna muda tunaongea peke etu.

Mbaga Jr ushaandaa suti ya kwendea harusini au utaenda na kanzu??
😂 😂 😂
Niliahidi kumchangia hata cartons za maji kumbe anazingua tu humu?
Kweli haya ni matumizi mabaya ya akili na muda
 
🤣🤣 ww ndo huelewi mahi wangu!
Kule kwingine ulisema ndoa tamu, unajifungia ndani unapata dudu kutoka kwa mwanaume mtamu, huku unawaza harusi......ehuuu wanajf tunavurugwa sana jamani ndo maana kuna muda tunakuaga kama tumechanganyikiwa na kuna muda tunaongea peke etu.

Mbaga Jr ushaandaa suti ya kwendea harusini au utaenda na kanzu??
 
Ukweli ni kwamba kinachokuvutia ni sherehe tu + heka heka za siku hiyo za kuwaaminisha mashosti kuwa ndo naolewa hivyo,
mwisho: tunamwombea mwanetu ili akili zake za kawaida zirejeee kwa kusogeza mbele hii sherehe au kuishia mitini kabisa😂
Jamani 😁😁
 
Kila uchwao nimekuwa mtu wa kuwaza Kuhusu siku ya harusi yangu. ( Walio olewa watakuwa wananielewa)
yani Kuna Hali Fulani hivi unakuwa nayo, furaha iliyochanganyikana na hofu.

Mfano Mimi nawaza ntawaangaliaje watu siku ya send-off, na harusi na siku ya chai
Nawaza nivae nguo gani yani nitokelezee vipi siku hizo.

yani Hadi nimeanza kupungua kwa kuwaza hayo yote na hii ni kutokana na kukosa hamu ya kula.

Waungwana., naomba mnishauri KUELEKEA siku hiyo mambo ya kuzingatia na mambo ya kuepukana nayo katika nyanja mbalimbali na ntayafanyika kazi pale inapobidi.

Asante.
Yaani wewe unafikiria uvae nin au utasimama vipi mbele ya watu. Hivi ni vitu vidogo saana. Kwanza mweke mchumba wako karibu sana maana anaweza asijitokezd siku ya sendoff au hata ya harusi. Hiyo kutoka vipi sio ya maana kwa kuwa wenzio wameolewa na gauni za kawaida bila sendoff, bila gauni za harusi na maisha yanaendelea. Nilikuwa nadhanj ni dume maana hii hofu inaweza kufanya kupungua nguvu za ........ . Hii ni hofu zaidi kwako. Sio harusi wala sendoff.
 
Back
Top Bottom