Huyo mdada ni mhaya...km sio anatumia vidonge vya majira, km sio ni naumbile. Ushauri aachane na ndizi za kupikwa lakini pia mwambie atumie vidonge vya Amoxyln muda mchache kabla ya...2×3 itasaidia. Pia wakati wa mzunguko wake wa hedhi hesabu siku akiingia tulia hadi siku ya 17 hutakutana na hayo lkn hasa kuanzia siku ya 20 na akikaribia kuingia tena.
Yote kwa yote Kama mume sio mzawa was Bk lazima usikitishwe na jambo hilo. Wanaume wa Bk wanapenda Sana hali hiyo ksbb wote wadada wako hivo.
Mwisho vumilia kijana. Oa.