Nishaurini kuhusu mpenzi wangu, ana tatizo la kuwa na maji mengi ukeni

Nishaurini kuhusu mpenzi wangu, ana tatizo la kuwa na maji mengi ukeni

Sijui nishike lipi niache lipi
Poleee huta ambua kitu hapa maana wengine baada ya kukushauri cha kufanya wanajinadi

Kama hakuwa hivyo mwanzo vunja ukimya mweleze kisha mwende hospitali huenda akawa na maradhi , maumbile yetu wanawake yapo sensitive sana, kama ni maradhi yanaweza sababisha ugumba.
 
Dah... Mie siamini hadi nihakikishe mwenyewe [emoji12] [emoji12]
 
Huyo mdada ni mhaya...km sio anatumia vidonge vya majira, km sio ni naumbile. Ushauri aachane na ndizi za kupikwa lakini pia mwambie atumie vidonge vya Amoxyln muda mchache kabla ya...2×3 itasaidia. Pia wakati wa mzunguko wake wa hedhi hesabu siku akiingia tulia hadi siku ya 17 hutakutana na hayo lkn hasa kuanzia siku ya 20 na akikaribia kuingia tena.

Yote kwa yote Kama mume sio mzawa was Bk lazima usikitishwe na jambo hilo. Wanaume wa Bk wanapenda Sana hali hiyo ksbb wote wadada wako hivo.

Mwisho vumilia kijana. Oa.
Umeeleweka
 
Back
Top Bottom