Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wataalam wa Technology habari zenu.
Bajeti yangu ndogo ila natamani nimiliki Iphone katika pita pita zangu nimekutana na Iphone S6 ambayo inaendana na Bajet yangu ila wasiwasi wangu ni kwamba nasikia ifikapo mwakani itakua expired kwamba baadhi ya app km WhatsApp na nyinginezo zitakua hazifanyi kazi je hii ni kweli? Nisije nikaingia mkenge.
NAWASILISHA
Hapo ukiongeza kidogo unapata A20sHapo kwenye Sumsung sawa kwa bajet ya 270K napata A's gani?
nenda kanunue iphone 6s au splus na kuendelea,hazitazimwa wasap wala nini usisikilize uongo huo.
hiyo simu mpaka sasa kitakachokukera ni betry tu,ila ni simu nzuri kuzidi matakataka mengi ya miaka ya karibuni hapa.
Inabidi ujipange kuhusu jambo la betri lake.Kuna wakati nimesikia clients wengi wa iphone wakilalamika kwamba technology ya simu zao ikishakuwa old basi kampuni ufanya kupunguza uwezo wa betri
yeah ni kweli ila kuna scandal ilitokea 2016 na kampuni ya apple walitolea maelezo. Tumia hiyo address kuona kilichotokeakampuni haihusiki hapa,hapa ishu ni tech
ukiangalia miaka ni mingi sasa imepita tokea 6/6s itoke,vingi vimebadilika na hata mzigo wa simu kufanya kazi umeongezeka kupitia update lakini betri ni ile ile 1890mah.
Kwanini ununue simu iliyokwisha kuchokwa na vibibi vya kizungu na kuletwa huku??..ambayo inaenda kuwa out kwenye uwezo wa kurun some apps soon??
Au tu uonekane unatumia iPhone?..
N'way..kipenda roho hula nyama mbichi.
Poa nakubali kuwa mjinga haya nipe somo kuhusu Iphone 6s is 15 ntashukuru
Inayofungiwa sio simu; ni ios [emoji24][emoji23]