Nishaurini: Nataka ninunue iphone S6

Nishaurini: Nataka ninunue iphone S6

Wataalam wa Technology habari zenu.
Bajeti yangu ndogo ila natamani nimiliki Iphone katika pita pita zangu nimekutana na Iphone S6 ambayo inaendana na Bajet yangu ila wasiwasi wangu ni kwamba nasikia ifikapo mwakani itakua expired kwamba baadhi ya app km WhatsApp na nyinginezo zitakua hazifanyi kazi je hii ni kweli? Nisije nikaingia mkenge.
NAWASILISHA

Haina Kazi later this year
 
Kwanini ununue simu iliyokwisha kuchokwa na vibibi vya kizungu na kuletwa huku??..ambayo inaenda kuwa out kwenye uwezo wa kurun some apps soon??

Au tu uonekane unatumia iPhone?..

N'way..kipenda roho hula nyama mbichi.
 
nenda kanunue iphone 6s au splus na kuendelea,hazitazimwa wasap wala nini usisikilize uongo huo.

hiyo simu mpaka sasa kitakachokukera ni betry tu,ila ni simu nzuri kuzidi matakataka mengi ya miaka ya karibuni hapa.
 
Inabidi ujipange kuhusu jambo la betri lake.Kuna wakati nimesikia clients wengi wa iphone wakilalamika kwamba technology ya simu zao ikishakuwa old basi kampuni ufanya kupunguza uwezo wa betri
 
Inabidi ujipange kuhusu jambo la betri lake.Kuna wakati nimesikia clients wengi wa iphone wakilalamika kwamba technology ya simu zao ikishakuwa old basi kampuni ufanya kupunguza uwezo wa betri

kampuni haihusiki hapa,hapa ishu ni tech

ukiangalia miaka ni mingi sasa imepita tokea 6/6s itoke,vingi vimebadilika na hata mzigo wa simu kufanya kazi umeongezeka kupitia update lakini betri ni ile ile 1890mah.
 
yeah ni kweli ila kuna scandal ilitokea 2016 na kampuni ya apple walitolea maelezo. Tumia hiyo address kuona kilichotokea
 
Kwanini ununue simu iliyokwisha kuchokwa na vibibi vya kizungu na kuletwa huku??..ambayo inaenda kuwa out kwenye uwezo wa kurun some apps soon??

Au tu uonekane unatumia iPhone?..

N'way..kipenda roho hula nyama mbichi.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1426] eti “vibibi vya kizungu”
 
Kama unata simu Kwa mataumizi ya uhakika nakushauri tafuta one plus au Xiaomi hizi kampuni ziko makini Sana......utakuja kunishukuru,iPhone ni za wauza sura na watu wa show off.
 
Inayofungiwa sio simu; ni ios [emoji24][emoji23]

Hivi kioo cha 8plus n bei gani[emoji20] mekutana na bei tofaut tofaut

huu mji usipokua makini unapigwa paref sana[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
 
Back
Top Bottom