Nishaurini Ndugu zangu juu ya huyu mwanamke

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kwani ni mpenzi au mke?

Kama ni mpenzi temana naye

Ila kama mke wa ndoa amua mwenyewe kulingana na dini yako

Kama ni kiselikali amua pia kulingana na sheria inavyosema
 
Kadiri siku zinavyozidi kwenda ndio hata wanaume wanazidi kupoteza mioyo ya chuma na kufanya maamuzi.

Huko mbeleni sijui kutakuja kuwepo kizazi gani, maana ulegevu umezidi sana.
 
Huyo mwanaume wako anakupenda sanaa kawa falaa kabisa juu yako.. ukimuacha jamaa atajiuaa..!! Mpe huu ujumbe huyo demu maana wewe zombi ushakufa wakati bado unaishi
 
Mimi ni mwanaume wa miaka 27, nina mchumba tuliyedumu miaka 3 sasa kuanzia 2021 tulipomaliza chuo pamoja na mpaka sasa tunaishi pamoja..
Brother wake up, pray to God _ bado upo na muda.

Bidhaa zipo nyingi duniani shida ni hiyo elimu huo ni mwanzo taalifa hiyo umepewa yajayo yanafurahisha?
 
Moyo wangu umeniuma sana kugundua mwanamume mwenzangu unateseka namna hii toka humo kwenye hilo shimo mara moja kabla hujaathirika
 
Kwenye hayo mahusiano unahitaji nini?
What you resist, persist...
Unakuja kufa vibaya we jamaa.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€. Kwani si muachane tu
 
Unataka ushauri gani
Kajiue tu tuondoe usumbufu kidogo.
 
Kiujumla mwanamke wako akiwa na mawasiliano ya kimapenzi na wanaume wengine, hii huitwa "cheating" one day hao ME watakuwa your replacement....so the best decision to take ni kuachana naye.....By the way hakuna namna Ke atajihusisha kimapenzi na Me wengine kama ANAKUPENDA....
 
ila yeye aliwahi kuwa nao watatu
Hapa ndio ulikosea bob, swali la babe mimi ni mwanaume wako wa ngapi jibu lake huwa ni tatu daima, kama pai tu. Mpaka hapo upo kifungoni ukipenda jela oa huyo mwanamama.
 
Piga chin sio dalili nzur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…