Nishaurini Ndugu zangu juu ya huyu mwanamke

Comment
______________
Mwanamke amekuzd experience
Record yako wew 1/1 wakat manz ako 3/1+ tena amekwambia watatu kpnd hicho jua kua fea nyingi ameztoa

Kwa kauli hiyo jitoe kwenye mahusiano hayo atakuja kuharbu future yako.

Let her go , she is not type of your kind [emoji1625][emoji362][emoji772]
 
Mimi ni mwanaume wa miaka 27, nina mchumba tuliyedumu miaka 3 sasa kuanzia 2021 tulipomaliza chuo pamoja na mpaka sasa tunaishi pamoja

Nafanya kazi Kampuni ya mawasiliano na yeye anasoma masters huku akifanya kazi Bank moja hapa jijini. Wakati tunaanza mahusiano kila mmoja alikuwa wazi kuhusu historia yake ya mahusiano ambapo mimi hapo awali niliwahi kuwa na mpenzi mmoja tu ila yeye aliwahi kuwa nao watatu. Tulikubaliana kwa pamoja mwaka huu 2024 nikafanye utambulisho kwao then swala la mahari lifate

Mara nyingi nakuta message za mapenz kwny simu yake kutoka kwa wapenzi wanaume wa zamani ila alikuwa mwepesi kuomba msamaha na kukiri kuacha na anasema hana mpango nao ni mawasiliano tu. Lakini hakuacha tabia hii alifuta majina zikaonekana namba tu na yupo makini sn na sim yake hata bafuni alikuwa anaenda nayo.

Pamoja na hayo alichojibu baada ya kumtaka kumfahamu anawasiliana na nani ni hiki:
1. Huna haja ya kufaham marafiki zangu
2. Huyu nilianza nae mahusiano kabla yako
3. Nina uwezo wa kuwa hata na wanaume 10 ni maisha yangu.

Naumia sana wandugu sijui la kufanya, ameomba msamaha kuwa ni shetani tu kampitia. Nishaurini ndugu zangu nifanye nini
Mwache aolewe na shetani anayempitia kila mara. Kiufupi huyo ni mtoto wa mjini na wewe ni jogoo wa shamba. Mifumo yenu na malezi ni tofauti atakusumbua tu maana unaonesha wewe ndio unamuhitaji zaidi kuliko ambavyo yeye anakuhitaji. Kosa sio kosa likitendwa mara moja likafuatiwa na msamaha. Ila kosa kurudiwa mara kwa mara ni makusudi na dharau kubwa sana.
 
Ukiwa na kazi na umesoma mpaka raha. Yani mwanaume unamfanya unavotaka mpaka anakuja jf kuomba ushauri mana wewe ni wife wa ndoto. Daah nimelia sana.
Huyo demu ni mshamba, anazuzuliwa na wale wanaoleta maburungutu pale kaunta. Demu atakuwa pisi af ni bank telller tu😂
 
Ila mzee pamoja na shauri zote zilizotolewa huko juu, mimi ushaur wangu ni mmoja tu, AKILI YA KUAMBIWA CHANGANYA NA YAKWAKO. sikushauri kumwacha huyo mpenzi wako ila je kama ukimuacha leo then huyo utakayempata atakuwa na unafuu kuliko huyu? Katika dunia ya leo kupata mwanamke ambaye hana dosari kama hizo ni nadra sana. Chamsingi ni kukaa na mwenzio na kuangalia shida iko wapi namna ya kuitatua ili maisha yaendelee.
 
Mimi ni mwanaume wa miaka 27, nina mchumba tuliyedumu miaka 3 sasa kuanzia 2021 tulipomaliza chuo pamoja na mpaka sasa tunaishi pamoja

Nafanya kazi Kampuni ya mawasiliano na yeye anasoma masters huku akifanya kazi Bank moja hapa jijini. Wakati tunaanza mahusiano kila mmoja alikuwa wazi kuhusu historia yake ya mahusiano ambapo mimi hapo awali niliwahi kuwa na mpenzi mmoja tu ila yeye aliwahi kuwa nao watatu. Tulikubaliana kwa pamoja mwaka huu 2024 nikafanye utambulisho kwao then swala la mahari lifate

Mara nyingi nakuta message za mapenz kwny simu yake kutoka kwa wapenzi wanaume wa zamani ila alikuwa mwepesi kuomba msamaha na kukiri kuacha na anasema hana mpango nao ni mawasiliano tu. Lakini hakuacha tabia hii alifuta majina zikaonekana namba tu na yupo makini sn na sim yake hata bafuni alikuwa anaenda nayo.

Pamoja na hayo alichojibu baada ya kumtaka kumfahamu anawasiliana na nani ni hiki:
1. Huna haja ya kufaham marafiki zangu
2. Huyu nilianza nae mahusiano kabla yako
3. Nina uwezo wa kuwa hata na wanaume 10 ni maisha yangu.

Naumia sana wandugu sijui la kufanya, ameomba msamaha kuwa ni shetani tu kampitia. Nishaurini ndugu zangu nifanye nini
Aisee mie nilikuwa bwege huko nyuma kuhusu wanawake ila mwezangu wee umezidi 🤣🤣🤣🤣 sasa kashakwambia anaeeza kuwa na ndume ata kumi wee bado hujajua tuu kuwa huyo ni mwanamke wa kugegeda tuu
 
Ila mzee pamoja na shauri zote zilizotolewa huko juu, mimi ushaur wangu ni mmoja tu, AKILI YA KUAMBIWA CHANGANYA NA YAKWAKO. sikushauri kumwacha huyo mpenzi wako ila je kama ukimuacha leo then huyo utakayempata atakuwa na unafuu kuliko huyu? Katika dunia ya leo kupata mwanamke ambaye hana dosari kama hizo ni nadra sana. Chamsingi ni kukaa na mwenzio na kuangalia shida iko wapi namna ya kuitatua ili maisha yaendelee.
Kuna dosari za kumvumilia mwanakie ila sio kiburi, umalaya na ujuaji.
 
Aisee mie nilikuwa bwege huko nyuma kuhusu wanawake ila mwezangu wee umezidi 🤣🤣🤣🤣 sasa kashakwambia anaeeza kuwa na ndume ata kumi wee bado hujajua tuu kuwa huyo ni mwanamke wa kugegeda tuu
1.Mwanamke anaficha ficha simu unaanzaje kumpa trust yako?

2.Unakuta anachat na madume unam confront anafuta majina anabakisha namba tu. Anendelea na usengemaji wake na kukujia juu.

Huitaji degree kutambua kwamba ni muda wa kufungasha virago😁
 
Back
Top Bottom